Natarajia kuoa, mambo ya msingi ni yapi.

Hata mi nilitaka kujua mambo ya kuzingatia kabla ya ndoa...
Jamaa mmoja akasema eti nijiandae kujiunga na chama kubwa linaitwa CWU... yaani Chama cha Walala Uchi... haha!
 
Nikushukuru kwa busara zako, serikali mpya bila ya my mom, aisee, ngumu kumeza inabidi wife ampe kidogo nafasi na bi mkubwa maana she played a very big role kwenye makuzi yangu..
sasa unaoa vya nini kama bado mtoto wa mama?kwani huyo mkeo mtarajiwa kakuzwa na manyani? Mamako muda wake ushapta kilichobaki ni salamu tu na misaada mingne midogomidgo inapohtajika siyo eti bajeti ya chakula ndani unamuulza mamako,weeee itakula kwako!!! Kiujumla wanawake hatupendi kuingiliwa ktk ndoa zetu!
 
Unaoa au unaolewa wewe???!!!!
Kuharibiana siku asubuhi na mapema yote hii!!!!!
Mtoto wa kiume unataka kuoa na hujui la kufanya in the due night na siku inayofuata!!!!!!

Cc Ennie,Kibibi Jongo,Christine Ibrahim,mimi49,Kongosho
 
sasa unaoa vya nini kama bado mtoto wa mama? Kama unataka miez 6 tu ya hiyo ndoa RUHUSU hilo!!!


Yani kwa mtu kama huyo ni bora uzae watoto wote wa kike kuliko mvulana kama huyo!!!!!!
 
Unaoa au unaolewa wewe???!!!!
Kuharibiana siku asubuhi na mapema yote hii!!!!!
Mtoto wa kiume unataka kuoa na hujui la kufanya in the due night na siku inayofuata!!!!!!

Cc Ennie,Kibibi Jongo,Christine Ibrahim,mimi49,Kongosho

malengo yangu ilikua kupata experience zenu wadau ili nifanye kilichobora, i expected mngeniambia do this don't do that, inasaidia na wengine pia..
 
Hata mi nilitaka kujua mambo ya kuzingatia kabla ya ndoa...
Jamaa mmoja akasema eti nijiandae kujiunga na chama kubwa linaitwa CWU... yaani Chama cha Walala Uchi... haha!
mkuu makao makuu ya hii kitu ni wapi, na membership subscription inakuaje, unalipia kama star times au kwa tigo pesa, nahitaji maelekezo zaidi mkuu
 
malengo yangu ilikua kupata experience zenu wadau ili nifanye kilichobora, i expected mngeniambia do this don't do that, inasaidia na wengine pia..


Rekebisha content iendane na heading halafu tuanze mjadala wa kiume ukichombezwa na wadada,otherwise hakuna la msingi hapo
 
nitawezaje kubalance hawa watu wawili muhimu kwangu ili nisije zua mtafaruku maana wote nawahitaji

usiruhusu kukaa nyumba moja na mamako ukishaoa awe wa kuja na kuondoka!!, mkeo akikukosea yakikuzidi mashtaka kwa mshenga ama kwao C KWA MAMA YAKO.
 

hapakaliki wala kupikika + kugedeka!!!
 
nitawezaje kubalance hawa watu wawili muhimu kwangu ili nisije zua mtafaruku maana wote nawahitaji

Everybody should play her OWN roles.
Usiwachanganye, kila mtu asimame peke yake wasiingiliane mipaka toka maamuzi mpaka mawazo
 
Mh! Ndio mume mtarajiwa huyu? Nikwambie tu kuwa endapo utampa nafasi huyo mama yako katika ndoa yako Mwaka hautaisha utakuja kuomba ushauri hapa.......... Mbona watumishi wa Mungu huwa wanaliongelea sana suala hili la ndugu kutopewa nafasi katika ndoa? Unaonekama wewe ni mtoto wa mama.
 
kwani ndoa inafuta uwepo wa wazazi??

haifuti lazima ujue nafasi ya kila mmoja ukikosea hapo tu umeharibuu ndugu umeharibuuu!! Yehuwii!! Inabidi sasa wanaume muanze kufanyiwa kitchen party kwa mtindo huu!
 
busara nyingi m.e.m.a, and so how is the experience in the first night of marriage after all the invitees have gone and you are all alone with your wife/hubby..

Hapo (kama mlishawahi kukutana kabla), basi hakuna cha tofauti, labda tu kwamba kuna kingine kimeongezeka kuwa ni mke/mume. Kwa namna fulani unajihisi huru zaidi.

Kama hamjawahi kukutana; make it an historical night for you. Sherehe .nyingi zinaisha usiku sana. Na mpaka hapo mtakuwa mmechoka na purukushani za maandalizi na hatimaye sherehe yenyewe. Kwa hiyo nashauri mpumzike mwili na akiki ijijenge kwa tukio. Pia;
1. Fahamu mapema ni wapi mtakapokwenda.
2. Kiandae chumba hicho na kila ambacho unadhani utahitaji. Make it romantic..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…