C chapachapa Member Joined Jan 14, 2013 Posts 93 Reaction score 21 Jan 15, 2013 Thread starter #21 mroso said: Huyu jamaa atakuwa si mkweli. Click to expand... Mbona unanionea kwa vipi?
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,609 Jan 15, 2013 #22 Hongera sana kwa kujitunza! chapachapa said: Waungwana katika JF mimi ndo naingia ulingoni na huu ndio uzi wangu wa kwanza, pia ninaomba ushauri kwa kuwa wiki mbili zijazo natarajia kufunga ndoa na mara yangu ya kwanza kukutana na mwanamke naomba madodoso siku ya kwanza inakuaje??????? Click to expand...
Hongera sana kwa kujitunza! chapachapa said: Waungwana katika JF mimi ndo naingia ulingoni na huu ndio uzi wangu wa kwanza, pia ninaomba ushauri kwa kuwa wiki mbili zijazo natarajia kufunga ndoa na mara yangu ya kwanza kukutana na mwanamke naomba madodoso siku ya kwanza inakuaje??????? Click to expand...