Natapika

mkalagale

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
71
Reaction score
8
jamaa mmoja alitoka kazin kufika nyumban akamkumbatia mkewe na kuanza kula denda mala mdomoni mwa demu akakuta punje ya wali jamaa akauliza ulikuwa unakula wali demu akasema hapana nilikuwa natapika.
 
Yaakhh! Sa ndo nn kurukia bila hata kusafisha kinywa,mmmmh yaak!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…