Natangaza rasmi...

Watanzania suala la kujiunga na chama kwa kuangalia rangi ya bendera ,utashi wa kiongozi n.k.bila kutizama falsafa ya chama na malengo yake ni hatari! Cha msingi na sekondari nchi kwanza mtu baadae.
 

Ulipohamia ulitoa taarifa?
 

CHADEMA hakifugi mtu hata awe maarufu kiasi gani..!
Kwani Zzk kabata umaarufu kupitia Ccm..!??
CHADEMA kama CHAMA makini ndio kimemfanya awe apo alipo so kama anaenda kinyume Na taratibu zakichama ili ajinufaishe yeye Kwa maslahi yake Na kukwamisha harakati mwache akatwe kimbembe..!!
Hichi Sio CHAMA chakufugana na kufuga upumbavu kama wafanyavo Ccm..!!
Neva
Kwenda kafie Lumumba
 

Kumbe ID ya Msingida ni yako pia hahaaaa.............. tulikujua hujawahi kuwa chadema. Unadai umesoma Denmark miaka mitatu, wakakuambia sijui mara Denmark wamekuamuru uje ukajifunze kiswahili. Ni Lini umekuwa chadema, umekisaidia nini chadema wakati hata kura hujapiga. We bogas kabisa!!!
 

Kalale pema motoni.
 
Kwani wewe ulikuwa mwanachadema?
wewe si kijana wa Nape pale Lumumba?
Mtakoma, CDM haiwezi kukaa na vijana fuata upepo kama wewe!
 
Udhani ila hujui ukweli wa unachokisema...

Wewe unakijua sana. Sasa kama ni kivingine kieleze unachokijua hapa watu wakusikie. Tumewang'oa bila hofu yeyote. Kama mngelikuwa na moyo wa namna hiyo sidhani kama Mapacha watatu bado wangekuwa CCM leo. Sidhani kama hilo lichama lingekuwa kama lilivyo leo. Badala yake mkawapa sijui siku 90. Hazijafika??? Nyamazeni kimya, CCM hakuna chama kuna Wenye chama, nao watakiongoza watakavyo wao sio kama Nape au m/kiti atakavyo chini ya katiba. Katiba ni Mtu anavyojulikana sio chama kinavyosema. Upo hapo? Mnasema ati Sintapokea wala kutoa Rushwa. Jioni mnasema; Wakamueni hao Wadanganyika kodi za simu, tupate za kuwapa pilao. Yule yule uliyetishia kumvua gamba, leo anakutuma uwanyonge wazawa. Mbona kazii.
Haya, tumewapelekeeni hayo mashushushu yenu, yatumieni kwenye kampeni zenu. Sisi kwetu hao ni Ganda la muwa la juzi. Nyie shangilieni. Ongezeeni kwenye orodha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…