Natangaza rasmi!!!

My lovely daddy watu8 yaani hata cjui nianzie wapi make hii ni aibu hata kusema... Ukweli C6 ni mtu mwema ila kosa ni langu... ntakufuata chema tuongee.. Ila nipromise hutonikana kuwa mimi ni mwanao kwa hii aibu!!!!!

Mmmh!! aibu yako aibu yangu daughter...daddy and mumy luv you a lot, nitafurahi kama ukinieleza shida ipo wapi mpenzi tutasolve pamoja...
 
nasubiri hali ya hewa itulie ili niweze toa tamko langu rasmi, kwa sasa nna uchungu na hasira kwa nilichogundua,
ntarudi soon ntakapokuwa nime calm down...

nakala kwa: watu8, Baba V, gfsonwin, Chimbuvu, charminglady

Usije kwa hasira jamani kwani tulipokubaliana tulitumia busara, hivyo hivo katika kuachana pia busara yahitajika...... :lol:
 
Last edited by a moderator:
...eeh yaani Toka nisikie hiyo White Party..."VIBUTI" vimekua nje nje..watu full kuachana ..ili kutoa NAFASI kwa wengine...pole jamani akina C6 na wengineo..ni "UPEPO TU WA WHITE PARTY UTAPITA"
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru kwa kuja hadharani kukiri.
Hata nami nakupenda sana.
Na ole ungekubali,walah ningekuacha maana ni wengi wanaonitaka.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…