Pole sana bibie. Namshukuru Mungu kwamba pamoja na changamoto za hapa na pale, mimi na my wife wangu marejesho, tunaendelea vizuri! Praise the Lord!!!
ikiwa kweli Ruttashobolwa ataota kitambi cha ghafla maana kakonda huyo utadhani ana kwashakoo,kupenda kubaya jamani.
Unajua .COM hawa wanasumbua sana.
Heri nirudiane na Ruttashobolwa wangu.
copu😡amu
Kweli maji hayasahau baridi!!! Hatimae umeridhia. Sasa ukipashe tu kiporo chako ule!
Mabibi na Mabwana habarini za asubuhi....
Kutokana na kimya kingi kutawala katika NDOA yangu na C6 sasa natangaza rasmi kukiaga Chama cha TAMU (Tanzania Married Union) Taratibu zote zimekwisha fanyika, kilichokuwa kimebaki ni kuwataarifu wana Chitchat. . . .
Sitopenda kuchumbiwa kwa sasa mpaka hapo nitakapotoa taarifa. Walokuwa wakinimendea endeleeni kukaza kamba huenda kuna siku ntawafikiria.
Wasaalam Single lady a.k.a Miss Chitchat 2012!!!!!!!
Nakala kwa : Baba V
charmingladyyyyyy ujue nakuangalia tu...ndio nini hujamwambia daddy mapema??? nani huyo anayekuzuzua mwanangu?
cc: measkron
Afu si ana mimba ya miezi nane na wiki mbili huyu..., I hate to hear this..!!
Mabibi na Mabwana habarini za asubuhi....
Kutokana na kimya kingi kutawala katika NDOA yangu na C6 sasa natangaza rasmi kukiaga Chama cha TAMU (Tanzania Married Union) Taratibu zote zimekwisha fanyika, kilichokuwa kimebaki ni kuwataarifu wana Chitchat. . . .
Sitopenda kuchumbiwa kwa sasa mpaka hapo nitakapotoa taarifa. Walokuwa wakinimendea endeleeni kukaza kamba huenda kuna siku ntawafikiria.
Wasaalam Single lady a.k.a Miss Chitchat 2012!!!!!!!
Nakala kwa : Baba V
Sitopenda kuchumbiwa kwa sasa mpaka hapo nitakapotoa taarifa. Walokuwa wakinimendea endeleeni kukaza kamba huenda kuna siku ntawafikiria.
Hivi hiyo kauli hujaiona??????? Au ndo umejitoa akili!!!!!!!
charmingladyyyyyy ujue nakuangalia tu...ndio nini hujamwambia daddy mapema??? nani huyo anayekuzuzua mwanangu?
cc: measkron
Baba V mwenyekiti wetu nitakusaka chemba tulisuluhishe hili make ni msala wa kufa mtu... Na hii mimba we acha tu ndo hivyo nakaribia kutoa chata ya mtu humu ila..............!!!!!!!!!!!!!:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:Afu si ana mimba ya miezi nane na wiki mbili huyu..., I hate to hear this..!!