CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
hongera karibu chama cha UCHUNGU (Unwanted Chaming and Un----able Guyz Union)
Mabibi na Mabwana habarini za asubuhi....
Kutokana na kimya kingi kutawala katika NDOA yangu na C6 sasa natangaza rasmi kukiaga Chama cha TAMU (Tanzania Married Union) Taratibu zote zimekwisha fanyika, kilichokuwa kimebaki ni kuwataarifu wana Chitchat. . . .
Sitopenda kuchumbiwa kwa sasa mpaka hapo nitakapotoa taarifa. Walokuwa wakinimendea endeleeni kukaza kamba huenda kuna siku ntawafikiria.
Wasaalam Single lady a.k.a Miss Chitchat 2012!!!!!!!
Nakala kwa : Baba V

copy: Ruttashobolwa na Baba VMie mwenyewe nimepanga nitoe uamuzi mzito kuhusu mume wangu Chimbuvu after White Party.
Maana Ndoa yetu iko ICU Agha Khan tena inapumulia Gesi.
oh dear! Mpe pole sana.
ikiwa kweli Ruttashobolwa ataota kitambi cha ghafla maana kakonda huyo utadhani ana kwashakoo,kupenda kubaya jamani.Tena Copy iwe ya Nguvu Bishanga.