WanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
Ukiamka wahi kwa daktari upimwe akili si mzima weweWanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
WanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
Nikiangalia saa ambayo umetuma posti hii naweza kusema tu kwamba pengine unaota ndoto ya kuoteshwa. Kama wewe ni kijana mwenye akili Tanzania hii halafu bado unashabikia ccm hadi leo utakuwa na tatizo fulani. Na nyie ndio mnaozuia maendeleo ya nchi hii bila hata kujua
Afadhali punguani mmoja kajua wodi Iko wapi, upinzani is better off without youWanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
Huyu naye sijui ni Msukule wa GWAJIMA ...?? Eti CCM ndiyo chama chenye dira ya kuikomboa Tanzania. Yaan upopompo mwingine ni bora uwe chizi watu wakusamehe bure.. Watu wako busy kuikomboa Tanzania kutoka kwa Mafisadi MaCCM ambayo imetukalisha kwenye umaskini kwa miaka zaidi ya 50 tangu.. hili jamaa liko busy kutafuta kadi ya ccm
Duh!!.. ndiyo maana Wazungu waliweza kuligawa bara la Afrika na wakagawana kama shamba lisilokuwa na mwenyewe.. Jitu kama hili halina tofauti na watu wa kale.,