tophonoured
Member
- Jun 12, 2013
- 15
- 1
Huyu ni nani!!?
Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie
Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie
...sera ni maneno tu,hata kwenye kanga yapo,jitokeze tujue kama unauwezo wa kusimamia sera hizo...kwanza nauza sera zikikubalika mtanijua maana mchakato ni mrefu
Tunahitaji mabadiliko makubwa sana Tanzania hasa kiuchumi lakini ili kufikia huko tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika siasa zetu. Kiongozi sifa kubwa anayotakiwa kuwa nayo ni mipango aliyonayo ambayo wananchi wanatakiwa kuangalia kati ya hawa wenye mipango bora ni nani anasifa za ziada kushinda wengine. Cha kusikitisha siasa zetu zimepoteza mwelekeo watu wanasimamia majina yao, wanasimamia kejeli na matusi kwa wengine, wanasimamia mitandao. kwa wananchi wanaotaka maendeleo ni lazima watambue kuwa mipango au sera kama wengine wanavyoita ndio namba moja katika kutathmini viongozi. ninaonyesha mfano ninategemea na wagombea wenzangu watafuata. wananchi lisaidieni taifa hili ili siasa zibadilike ziwe mipango mbele alafu sifa binafsi za mtu ndio zinafuata. kwa yeyote anayetaka kuwa raisi wa nchi yetu au kwa lugha nyingine anayetaka kuwa msimamizi mkuu wa mali za watanzania jambo la kwanza aulizwe unamipango gani juu ya mali zetu akionekana mipango anayo ndio sasa aulizwe wewe ni nani na ni nini cha ziada ulichonacho zaidi ya hawa wenye mipango mizuri kama ya kwako. kwa yeyote asiyekuwa na mipango asiruhusiwe hata kufikiria kugombea maana hawa ndio wanaturudisha nyuma kwa kukalia kiti cha uongozi wakidhani ni sehemu ya kupata heshima tu na kusaini documents....sera ni maneno tu,hata kwenye kanga yapo,jitokeze tujue kama unauwezo wa kusimamia sera hizo...
Tunahitaji mabadiliko makubwa sana Tanzania hasa kiuchumi lakini ili kufikia huko tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika siasa zetu. Kiongozi sifa kubwa anayotakiwa kuwa nayo ni mipango aliyonayo ambayo wananchi wanatakiwa kuangalia kati ya hawa wenye mipango bora ni nani anasifa za ziada kushinda wengine. Cha kusikitisha siasa zetu zimepoteza mwelekeo watu wanasimamia majina yao, wanasimamia kejeli na matusi kwa wengine, wanasimamia mitandao. kwa wananchi wanaotaka maendeleo ni lazima watambue kuwa mipango au sera kama wengine wanavyoita ndio namba moja katika kutathmini viongozi. ninaonyesha mfano ninategemea na wagombea wenzangu watafuata. wananchi lisaidieni taifa hili ili siasa zibadilike ziwe mipango mbele alafu sifa binafsi za mtu ndio zinafuata. kwa yeyote anayetaka kuwa raisi wa nchi yetu au kwa lugha nyingine anayetaka kuwa msimamizi mkuu wa mali za watanzania jambo la kwanza aulizwe unamipango gani juu ya mali zetu akionekana mipango anayo ndio sasa aulizwe wewe ni nani na ni nini cha ziada ulichonacho zaidi ya hawa wenye mipango mizuri kama ya kwako. kwa yeyote asiyekuwa na mipango asiruhusiwe hata kufikiria kugombea maana hawa ndio wanaturudisha nyuma kwa kukalia kiti cha uongozi wakidhani ni sehemu ya kupata heshima tu na kusaini documents.
...yaani wewe from this analysis hufai kuwa kiongozi hata wa mtaa maana hujui siasa ya tanzania na tanganyika. Tatizo tulilonalo tanganyika sio sera na ahadi nzuri nooooooooo...!! zipo sera nzuriiisana za ccm lakini tatizo ni mfumo mzima wa siasa za ccm na washirika wake ndo zimetufikisha hapa tulipo leo. tuliamini maneno mazuri na ahadi nzuri kwa miaka mingi bila kuona matokeo ndo maana tunaikataa ccm na wazushi wote kwakuwa ni wazuri wa sera na kulindana na kupeana ulaji. Tunataka mtu ambaye hata tukimuangalia usoni tunajua hakika anaweza kukisimamia anachokisema,sio kujifichaficha..unaogopa nini..?? kama unania jitokeze tukupe makavu live uyajibu tujue uwezo wako usijekukimbia midahalo...