Natangaza kutoa zawadi ya $5000 kwa mtu atakaenionyesha picha ya Samia akichukua fomu ya kugombea urais CCM

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,126
Reaction score
9,593
Sote tunajua kuwa Ili uwe mgombea halali wa CCM Kwa ngazi ya urais lazima uombe Kwa kuchukua fomu na kuirudisha.

Samia sijawai kumuona akichukua fomu, alijiteua tu bila kufuata taratibu. Inaonekana labda mimi ndo sikumuona akichukua fomu.

So natangaza kitita cha $5000 Kwa mtu atakaenionyesha picha ya Samia akiwa na fomu ya kugombea urais uko CCM.

N.B watanzania hatutaki Rais wa viti maalumu.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
 
Kwani kuna form ngapi? Ya chama na ya tume huru?
 
Sote tunajua kuwa Ili uwe mgombea halali wa CCM Kwa ngazi ya urais lazima uombe Kwa kuchukua fomu na kuirudisha.

Samia sijawai kumuona akichukua fomu, alijiteua tu bila kufuata taratibu. Inaonekana labda mimi ndo sikumuona akichukua fomu.

So natangaza kitita cha $5000 Kwa mtu atakaenionyesha picha ya Samia akiwa na fomu ya kugombea urais uko CCM.

N.B watanzania hatutaki Rais wa viti maalumu.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Huyo ni rais wa familia ya Msoga
 
Hesabu ni tatizo hujui hata ulitaka kuandika kiasi gani cha hela.
$5000K?
 
Sote tunajua kuwa Ili uwe mgombea halali wa CCM Kwa ngazi ya urais lazima uombe Kwa kuchukua fomu na kuirudisha.

Samia sijawai kumuona akichukua fomu, alijiteua tu bila kufuata taratibu. Inaonekana labda mimi ndo sikumuona akichukua fomu.

So natangaza kitita cha $5000 Kwa mtu atakaenionyesha picha ya Samia akiwa na fomu ya kugombea urais uko CCM.

N.B watanzania hatutaki Rais wa viti maalumu.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Ipo picha inayomuonyesha akichukua fomu pamoja na marehemu JPM.

Tafuteni uelewa mpana wa siasa za nchi yenu ili mpunguze malalamiko yasiyo na msingi.
 
Sote tunajua kuwa Ili uwe mgombea halali wa CCM Kwa ngazi ya urais lazima uombe Kwa kuchukua fomu na kuirudisha.

Samia sijawai kumuona akichukua fomu, alijiteua tu bila kufuata taratibu. Inaonekana labda mimi ndo sikumuona akichukua fomu.

So natangaza kitita cha $5000 Kwa mtu atakaenionyesha picha ya Samia akiwa na fomu ya kugombea urais uko CCM.

N.B watanzania hatutaki Rais wa viti maalumu.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Arudi tu kwao huyo mzenji hatumtaki kabisaaa
 
Samia sijawai kumuona akichukua fomu, alijiteua tu bila kufuata taratibu.
Hahahaaaaaa hukumuona hawala wake siku ya kutangaza jina la mgombea urais na mgombea mwenza wake?

Ni hivi chief....

Mwamba alimchukulia form hawala wake kisha akaijaza then akairudisha kisha wajumbe wakapiga makofi kuunga mkono huo uhuni wa jamaa na demu wake.

Hiyo 5000$ peleka kwa sadaka kwa manabii wa mchongo waendelee kula bata utabarikiwa
 
Sote tunajua kuwa Ili uwe mgombea halali wa CCM Kwa ngazi ya urais lazima uombe Kwa kuchukua fomu na kuirudisha.

Samia sijawai kumuona akichukua fomu, alijiteua tu bila kufuata taratibu. Inaonekana labda mimi ndo sikumuona akichukua fomu.

So natangaza kitita cha $5000 Kwa mtu atakaenionyesha picha ya Samia akiwa na fomu ya kugombea urais uko CCM.

N.B watanzania hatutaki Rais wa viti maalumu.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Hawatokuonyesha sababu wanajua huna kitu
 
Labda shetani au jini
 
IMG-20250713-WA0394.jpg
 
Back
Top Bottom