Natangaza kugombea ubunge jimbo la mbulu

GURTY mdogo

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
15
Reaction score
4
MIMI (YUDA GURTY QORYO),KUPITIA JUKWAA HILI NAOMBA NIWAWEKE WAZI KILICHOMO NDANI YA MOYO WANGU KWA MUDA MREFU SASA,NDUGU ZANGU DHAMIRA INANISUKUMA KWA MUDA MREFU SANA TANGU UTOTONI ,NIMEJARIBU KUPINGANA NA DHAMIRA HII SANA SANA!! LAKINI DHAMIRA IMENISHINDA ,NA AMINI KUNA KITU TOKA NDAN YA MOYO KINANIAMBIA KAWATUMIKIE WANA MBULU,KINANIAMBIA WATU WA MUNGU WANA HITAJI UONGOZI WAKO KIMAENDELEO,NIMEAMUA KUGOMBEA ,NINA UZOFU WA KUTOSHA KATIKA UONGOZI,NAWEZA KUWAJIBIKA,NAWEZA KUJITUMA,MWADILIFU,MWAMINIFU,NAYO UTU PIA,KUNA KITU KINANIAMBIA MUDA WA MBULU KUKOMBOKA KIMAENDELEO NI SASA,naomba sasa nisema bora mara mia kutumikia dhamira ya ndani kuliko kutumikia kichwa cha nje.
 
Attachments

  • IMAG0138.jpg
    IMAG0138.jpg
    112.4 KB · Views: 327
Kujieleza kwa maandishi kwenyewe hufahamu, itakuwaje siku ukisimama jukwaani mbele ys umati wa wa watu wenye kiu ya haki? utajieleza bila kuweka nukta?
 
Dhamira bila talent ni bure. JK alikuwa na dhamira/uchu wa Uraisi lakini hakuwa na talent ya uongozi, matokeo yake kila mtu anayaona
 
Tatizo JK aliongozwa na sasa anaongoza genge la wahuni wanaojiita wanachama wa CCM
 
Kujieleza kwa maandishi kwenyewe hufahamu, itakuwaje siku ukisimama jukwaani mbele ys umati wa wa watu wenye kiu ya haki? utajieleza bila kuweka nukta?

acha kumkatisha tamaa kamanda wetu, Gurty nakupa moyo unaweza kufanya lolote duniani kama utaweka dhamira na nia safi ya kufanya cha msingi tu anza maandalizi mapema kwa kutumikia wananchi pale ulipo kwani kiongozi anayesubiri kuchaguliwa kwanza ndio afanye kazi siyo kiongozi wa kweli kwahiyo kama upo kwy utumishi wowote jenga jina lako kwa kuwatumikia wananchi kwa moyo wote na mungu ataijua nia yako na atakuongoza kufika pale utakapo. Mungu akubariki niweke kwy listi yako ya kukuchangia kifedha na ushauri
 
Molembe mbulu walishaachana na habari ya ccm siku nyingi so jamaa atagombea kwa chadema ndo chama makini.
 
Big up kamanda. Tuko pamoja kwa KISHINDO.
2015 ndo Tanzania itapata uhuru kamili baada ya wauza unga na mafisadi waliokubuhu wataondoka madarakani.
 
MIMI (YUDA GURTY QORYO),KUPITIA JUKWAA HILI NAOMBA NIWAWEKE WAZI KILICHOMO NDANI YA MOYO WANGU KWA MUDA MREFU SASA,NDUGU ZANGU DHAMIRA INANISUKUMA KWA MUDA MREFU SANA TANGU UTOTONI ,NIMEJARIBU KUPINGANA NA DHAMIRA HII SANA SANA!! LAKINI DHAMIRA IMENISHINDA ,NA AMINI KUNA KITU TOKA NDAN YA MOYO KINANIAMBIA KAWATUMIKIE WANA MBULU,KINANIAMBIA WATU WA MUNGU WANA HITAJI UONGOZI WAKO KIMAENDELEO,NIMEAMUA KUGOMBEA ,NINA UZOFU WA KUTOSHA KATIKA UONGOZI,NAWEZA KUWAJIBIKA,NAWEZA KUJITUMA,MWADILIFU,MWAMINIFU,NAYO UTU PIA,KUNA KITU KINANIAMBIA MUDA WA MBULU KUKOMBOKA KIMAENDELEO NI SASA,naomba sasa nisema bora mara mia kutumikia dhamira ya ndani kuliko kutumikia kichwa cha nje.
Elimu je ''' taja .cv yako ccccm inakuja na prof. Na mwenye phd '''' watakunanga ooo huna shule ila '''' kama yes nenda bush kajenge cdm
 
Toka humu jf nenda ukawatangazie Wambulu ambao wengi hawako humu.
 
Hangera kwa kutangaza nia,wapiga kura wa mbulu wataamua kama wakupe au la.Kaza mwendo unaweza kuupata.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
MBONA MUOGA MUOGA TU! Hata WAOGA DHAIFU DHAIFU TU NAO WANAGOMBEA?? HatA PANYA ZITAGOMBEA KWAKWELI!!
 
MIMI (YUDA GURTY QORYO),KUPITIA JUKWAA HILI NAOMBA NIWAWEKE WAZI KILICHOMO NDANI YA MOYO WANGU KWA MUDA MREFU SASA,NDUGU ZANGU DHAMIRA INANISUKUMA KWA MUDA MREFU SANA TANGU UTOTONI ,NIMEJARIBU KUPINGANA NA DHAMIRA HII SANA SANA!! LAKINI DHAMIRA IMENISHINDA ,NA AMINI KUNA KITU TOKA NDAN YA MOYO KINANIAMBIA KAWATUMIKIE WANA MBULU,KINANIAMBIA WATU WA MUNGU WANA HITAJI UONGOZI WAKO KIMAENDELEO,NIMEAMUA KUGOMBEA ,NINA UZOFU WA KUTOSHA KATIKA UONGOZI,NAWEZA KUWAJIBIKA,NAWEZA KUJITUMA,MWADILIFU,MWAMINIFU,NAYO UTU PIA,KUNA KITU KINANIAMBIA MUDA WA MBULU KUKOMBOKA KIMAENDELEO NI SASA,naomba sasa nisema bora mara mia kutumikia dhamira ya ndani kuliko kutumikia kichwa cha nje.

nakushauri uanze kujipiga msasa na public speech. Soma vitabu vya kina Mandela na watu kama Martin Luther yule wa marekani achana na yule mjerumani. Hata chamani kwako si mbaya ukakutana na wale walio na uzoefu wakupige msasa kina Zitto na wengine wakupe madesa na nondo za kutosha.
Cha msingi uelewe mazingira unayotaka kugombea. Have a first hand information from your desired constituency and work on it. Dig in details all the problems and how the government has dealt with them. Know the budget that was ever allocated in that jimbo and how it was used for the past 10 years.
You will be in good shape come 2015. Tuanzie hapo mkuu.
 
All the blessings to you. May God guide your footsteps.
 
Huyu mwanasheria AKONAAY utampeleka wapi ndugu yangu,ni bora ungepata malezi mazuri chini ya viongozi wakuu wa vyama then utangaze nia!Hongera maana penye nia pana njia
 
Shiriki ktk harakati za M4C angalau hata za nyumba kwa nyumba, tuone ni kwa kiasi gani unaweza kuongoza mapambano ktk kutafuta ukombozi wa kweli wa taifa hili.
 
Back
Top Bottom