UbongoFAIDA ni kijana ambaye aliingiwa na wivu wenye nia njema kuwa kwanini asitoe maarifa machache anayofahamu kuwasaidia vijana wenzie wenye nia ya kujifunza .
Sasa Atakuwa akikuletea mafunzo mbalimbali kwa lugha yetu pendwa yaani kiswahili karibu ujifunze mengi na Anakuhakikishia utaweza jiajili mwenyewe kama haujaajiliwa