Natambulisha programu ya kukata tiketi ya basi mtandaoni

nimeipenda kazameni ikikamilika itakuwa mkombozi kwa wengi kiujumla japo hamjaikamilisha ila iko viziri
 
mkuu safari ulitafuta haipo ndio maana ikaleta maneno hayo. angalia maandishi yanapita/scroll chini ya huo mraba mweusi hapo juu
Kwanini haipo wakati kila siku mabasi yanafanya safari huki?? Kwani arusha to dar au dar to arush na dodoma tu ndo kuna ticket?
 
kuna safari chache kwa ajili ya majaribio hii system bado haijaanza kutumika rasmi
 
Mimi ninayo ijua ni startmysafari na nimeshaitumia haina longo longo. Hii yako sasa mmmnh
 
Sijajua kuwa hii programe ukiripa fedha itaingia mojakwamoja kwa mmiliki wa bus, pili muweke siku, mda wasafari, aina ya compuni. Kiasi cha nauri na mambo mengine
Hii ni programe nzuri sana kwa wamiliki wa mabus, kwani inapunguza ghalama za uendeshaji wa vyombo vya usafiri(operation cost) na hella inakuwa controlled maana inaingia mojakwamoja kwa account ya boss.
Na kama mtaweza pia kudesign programe ya kubook usafirishaji wa mizigo( cargo) itakuwa nzuri zaidi
 
Kuna kitu kinaitwa consumer behaviour in marketing husaidi sana. Unapoileta biashara hiyo sokoni
 
ni sawa kama unaifahamu hiyo, na pia hii system bado haijaanza kutumika sasa unavyoanza kuwaza ni longo longo nashindwa kukuelewa
 
Sijajua kuwa hii programe ukiripa fedha itaingia mojakwamoja kwa mmiliki wa bus, pili muweke siku, mda wasafari, aina ya compuni. Kiasi cha nauri na mambo mengine
Hii ni programe nzuri sana kwa wamiliki wa mabus, kwani inapunguza ghalama za uendeshaji wa vyombo vya usafiri(operation cost) na hella inakuwa controlled maana inaingia mojakwamoja kwa account ya boss.
Na kama mtaweza pia kudesign programe ya kubook usafirishaji wa mizigo( cargo) itakuwa nzuri zaidi
mbona siku ,muda, nauli na aina ya kampuni vyote vipo. ungetembelea kwanza system. Pia kuhusu programu ya cargo inawezekana kutengeneza ni muda ndio unahitajika
 
Kuna kitu kinaitwa consumer behaviour in marketing husaidi sana. Unapoileta biashara hiyo sokoni
hilo unalosema siwezi kujua kwa kweli mi nimesoma computer science maswala ya marketing ni ngumu kujua
 
Mfumo umekaa poa ila kama utakuwa ukifanya kazi kweli maana nimejaribu kukata tiketi lakini naambiwa hakuna safari pia mikoa mlioiweka ni michache bt mfumo umetulia mno ila hiyo picha ya gari ya kwanza kusura ni katishe kuendelea jitahidini kutuwekea picha za magari ya hapa bongo maana kuna picha ya basi moja pembeni kuna flag ya amerika tusije kukata tiketi tukadhania tunakwenda america kwa basi
 
Idea ni nzuri ila nafikir kuna mapungufu kadhaa... ilitakiwa msafiri achahue basi na sio kumchagulia... anapospecify route basi alitakiwa aone options zote za mabasi husika kwa tarehe husika.. na basi hayo lazima yazingatie instance nikiwa na maana basi mali ya kampuni X lenye namba T 254 ADQ ... kama lipo mwanza na linafanya safari zake kati ya mwanza na iringa.. basi msafiri kutoka mwanza akichagua route hiyo aweze kuonyeshwa basi hilo... kumbuka mabasi yote ya kampuni x ... yatakuwa na jina hilo hilo the only difference ni plate no au class... ili system iwe ni real time... alafu kwenye kuchagua route ikiwa from: nimechagua dsm basi kwenye to: dsm isionekane.... hii itakuwa daladala au mwendokasi sasa. Kingine ni designing ya interface haina muonekano mzuri.... na jinsi mlivyoweka hizo modules lazima uwe na ile series of actions from the actors (passengers)... sequence diagram and use case.. zinapaswa zikae njema.
 
bado hii system ni ya demo ndio maana kuna mikoa michache ila ikikamilika tutaweka mikoa yote ni pia picha zingine za mabasi
 
Idea ni nzuri ila nafikir kuna mapungufu kadhaa... ilitakiwa msafiri achahue basi na sio kumchagulia... anapospecify route basi alitakiwa aone options zote za mabasi husika kwa tarehe husika.. na basi hayo lazima yazingatie instance nikiwa na maana basi mali ya kampuni X lenye namba T 254 ADQ ... kama lipo mwanza na linafanya safari zake kati ya mwanza na iringa.. basi msafiri kutoka mwanza akichagua route hiyo aweze kuonyeshwa basi hilo... kumbuka mabasi yote ya kampuni x ... yatakuwa na jina hilo hilo the only difference ni plate no au class... ili system iwe ni real time... alafu kwenye kuchagua route ikiwa from: nimechagua dsm basi kwenye to: dsm isionekane.... hii itakuwa daladala au mwendokasi sasa. Kingine ni designing ya interface haina muonekano mzuri.... na jinsi mlivyoweka hizo modules lazima uwe na ile series of actions from the actors (passengers)... sequence diagram and use case.. zinapaswa zikae njema.
tumeweka safari chache ndio maana kuna tarehe basi liko moja tu sio kwamba tunamchagulia abiria basi, pia mtu akichagua kutoka dsm na kwenda dsm hii itakua Invalid Route na hatopata basi
 
Idea ni nzuri ila nafikir kuna mapungufu kadhaa... ilitakiwa msafiri achahue basi na sio kumchagulia... anapospecify route basi alitakiwa aone options zote za mabasi husika kwa tarehe husika.. na basi hayo lazima yazingatie instance nikiwa na maana basi mali ya kampuni X lenye namba T 254 ADQ ... kama lipo mwanza na linafanya safari zake kati ya mwanza na iringa.. basi msafiri kutoka mwanza akichagua route hiyo aweze kuonyeshwa basi hilo... kumbuka mabasi yote ya kampuni x ... yatakuwa na jina hilo hilo the only difference ni plate no au class... ili system iwe ni real time... alafu kwenye kuchagua route ikiwa from: nimechagua dsm basi kwenye to: dsm isionekane.... hii itakuwa daladala au mwendokasi sasa. Kingine ni designing ya interface haina muonekano mzuri.... na jinsi mlivyoweka hizo modules lazima uwe na ile series of actions from the actors (passengers)... sequence diagram and use case.. zinapaswa zikae njema.
safi sana aisee
 
Back
Top Bottom