Natambulisha programu ya kukata tiketi ya basi mtandaoni

Jahace

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
101
Reaction score
5
Habari wanaJF
Napenda kutambulisha kwenu programu ya kukata tiketi ya mabasi mtandaoni ambayo itakuwezesha kupata tiketi ya basi popote ulipo muda wowote.

Tumetengeneza programu hii kusaidia wasafiri kupata basi kirahisi na kumuondolea usumbufu na
gharama zisizo za lazima.
Tungependa kupata maoni yenu juu ya programu hii na nini tukirekebishe ili programu hii iwe
rahisi kutumika kadri iwezekanavyo kabla ya kuanza kutumika rasmi.

Tembelea link hii : http://wahibus.phpnet.us/

Ukiwa na maoni yoyote tafadhali comment au Pm ,Ahsante nawasilisha

Prince J,
Computer Science - Web programmer,
prnctz@gmail.com,
Moshi,Kilimanjaro.
 
Hiyo program iko wapi? Mbona siioni hapa?
 
Ungeweka link ya hiyo system watu waione kisha ndio watoe maoni mkuu, maoni hayaewezi kuja bila kuona hiyo kitu
 
Habari wanaJF
Napenda kutambulisha kwenu programu ya kukata tiketi ya mabasi mtandaoni ambayo itakuwezesha kupata tiketi ya basi popote ulipo muda wowote.

Tumetengeneza programu hii kusaidia wasafiri kupata basi kirahisi na kumuondolea usumbufu na
gharama zisizo za lazima.
Tungependa kupata maoni yenu juu ya programu hii na nini tukirekebishe ili programu hii iwe
rahisi kutumika kadri iwezekanavyo kabla ya kuanza kutumika rasmi.

Ukiwa na maoni yoyote tafadhali comment au Pm ,Ahsante nawasilisha

Prince J,
Computer Science - Web programmer,
prnctz@gmail.com,
Moshi,Kilimanjaro.
samahani nilisahau kuweka link

link:
http://wahibus.phpnet.us/
 
nilisahau link

LINK
http://wahibus.phpnet.us/
 
Nikikata mtandaoni nitakuwa na uwezo wa kuchagua seat, kujua kama gari hilo halijaaa? halafu wapiga debe na mawakala watakula wapi mnataka tuvamiwe na kuporwa mchana kweupee
 
Kwani kwenye yale mabasi ya mwendokasi makonda wanakula wapi, maana watu wachache wanaservice mabasi mengi, usipende kuja na hoja nyepesi nyepesi namna hiyo
 
wenye mabasi wana taarifa?
Tumeshindwa kuwapatia wamiliki taarifa sababu hatukuweza kupata mawasiliano/connection nao ila kama kuna mtu yeyote ambae ni mmiliki au anaweza kutukutanisha nao tungeshukuru sana
 
Kwani kwenye yale mabasi ya mwendokasi makonda wanakula wapi, maana watu wachache wanaservice mabasi mengi, usipende kuja na hoja nyepesi nyepesi namna hiyo
ahsante mkuu kwa msaada wa kumuelewesha
 
Nikikata mtandaoni nitakuwa na uwezo wa kuchagua seat, kujua kama gari hilo halijaaa? halafu wapiga debe na mawakala watakula wapi mnataka tuvamiwe na kuporwa mchana kweupee
kwa kutumia programu hii unaweza kuchagua basi kuchagua siti na pia kuona kama basi bado siti ngapi lijae, pia hakuna anaependa usumbufu wa wapiga debe pindi uendapo kukata tiketi so nadhani programu hii itasaidia wengi
 
samahani sana kwa kuchelewa kujibu comments
 
wewe una idea tu,ila ni idea nzuri inahtaji wadau wengine ili ikamilike idea yenu
 
1480523994341.png
naomba majibu hapo kwenye maandishi chini, labda mie lugha ya malkia imenipitia kushoto kama pogba
 
Back
Top Bottom