Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,102
Kwel kabisa mkuu na tena huwa ni funzoMungu awatie nguvu wote mlioachwa ama kuachwa kwasababu kadha wa kadha.
Wakati tunapatiwa mafunzo ya jandoni miaka ile ya Ujima, tuliambiwa kwenye mapenzi kuna kukinaiana pia.
Unaweza kupenda/kupendwa lakini baada ya muda ukaachwa/kuacha.
Ndiyo maana pamoja na kuwapenda ndugu na jamaa, lakini inapotokea tumewazika hatuwezi kuomboleza msiba miaka yote.
Lazima maisha mengine yaendelee, japo najua huwa vigumu kumsahau mtu mliyeishi naye kupika na kupakua miaka 2, 3, 6, 9 ama zaidi.
Kweli MkuuKwel kabisa mkuu na tena huwa ni funzo
kikubwa zaidi utenganapo na mpenz ni heri hata mkono wako wakushoto usijue maana huwa kunaumiza moyo zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23] daaahNyie wadada nyie, hadi waganga nao mnawapiga matukio? Mungu anawaona!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]