Natamani uhuru

Miaka 23 unawaza jinsi ya kuomba ruhusa nyumbani? Hivi wewe unaweza kwenda kumtambulisha mpenzi wako kweli?
Baki nyumbani upike na kufua nguo za wazazi wako. Bado haujakua kiakili.
 
Unataka kuja kumuona future eeh
 
Wakishua bn haya njoo pm fasta, uko chuo unakuwa unaakili za kisecondary kweli?
 
Mkuu hama home 2 kaanzishe maisha yako utakuwa huru kwa lolote lile lakin kwa vile upo chini ya himaya ya wazaz u have to respect their rules 4 ur own peril
 
Waambie ukweli kuwa kama kijana unahitaji kukutana na vijana wenzio to have fun. Waahidi huta misbehave huko kwenye tamasha kama kunywa pombe, bangi nk. Kama ni wazazi waelewa na wanakuamini watakuruhusu ila hakikisha usiharibu la sivyo hutaruhusiwa tena
 
Pole hayo maisha nimeyapitia sana ,ila kwenye shereh nilikuwa naenda ila napewa muda wa kurud, nakumbuk kuna siku nimeenda kwenye ubarikio nikachelewa kurud, nakumbuka baba na mam waliniambia nirud kwa wazazi Wang wa pili, nikajifany sijasikia nikaingia chumban kubad nguo ili nikaoge ,ile naingia jikon mama huyo na ukun nilipewa viboko vitatu vitakatifu na ikawa mwisho Wang kwenda kwenye shereh
 
KWANI KINACHOMTOROSHA NIKUFUATE HIYO STAREHE YA SIKU MOJA AU KULALA KWA MWANAUME MVULANA SIJAELEWA HAPO. KWA UKIPIMA OPPORTUNITY COST NI KUBWA MNO KWA UPANDE WA MADHARA KULIKO FAIDA
Si anataka starehe na anajua hasara kubwa kuliko faida, tumshaurije sasa zaidi ya kutoroka akastarehe anavyotaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…