Natamani uhuru

Mkuu,
teenwolf, kwa mazingira ambayo unaishi ni vyema ukatumia mbinu mbadala na iwe katika hali ya usalama kwako,
unaweza kufanya udanganyifu kwa kutoa maelezo fulani ambayo wazazi wako wataungana au kukubaliana nawe.
1. Unaweza ukaongea na rafiki yako wa kike mkapanga jinsi ya kuongea na wazazi na kupewa ruhusa.
2. Kama kuna ndugu wa karibu ambaye unahisi anaweza kuongea na wazazi wako mtumie pia.
3. Unaweza pia ukaongea na mzazi mmoja wapo ambaye unahisi anaweza kukuelewa kwa kumshawishi na kumpa maelezo kamili, sio mbaya kama utatumia njia mbadala udanganyifu na kumpa maelezo makini na akakuelewa na kukupa ruhusa.
 
Nimekusoma kupitia uzi wako na majibu yako kwa baadhi ya koments kwamba una miaka 23 na ni She.

Ushauri wangu kwako ni:-
Mosi, umri wako ni mkubwa sana, hufai kuendelea kukaa kwa wazazi wako.

Pili, kwakuwa kila jambo lina umuhimu wake likifanyika ktk hatua za ukuaji wa binadamu. Na kwakuwa wewe umeruka mambo mengi kutokana na restrictions. Na kwakuwa umri umesonga kwa ajili ya kuolewa,

Inabidi usitishe mpango wa kuingia kwenye ndoa kwa miaka 5 ili ufidie yote uliyowahi kuyakosa mfano kunywa sana, kungonoka sana, kukesha kwenye matamasha, n.k

Vinginevyo utakuja kuwa kituko uzeeni
 
hey young fella...as long as you're under your parents guardianship...boy u gotta live by em' rules
 


MWANAMKE MWENYE HESHIMA ANAONDOKA KWAO KWA SENDOFF AU AJILI YA SHULE VINGINEVYO NI AIBU.
 
MWANAMKE MWENYE HESHIMA ANAONDOKA KWAO KWA SENDOFF AU AJILI YA SHULE VINGINEVYO NI AIBU.
Inabidi apindishe shingo tu hakuna namna nyingine. Wanaume hakuna, sasa atakaa kwao mpk menopause ? Atoke agegedeshe kisha ajipatie mtoto alee mwenyewe.
 
Inabidi apindishe shingo tu hakuna namna nyingine. Wanaume hakuna, sasa atakaa kwao mpk menopause ? Atoke agegedeshe kisha ajipatie mtoto alee mwenyewe.
WANAUME WAPO ILA SIYO WA MASHARTI YENU
 

Toroka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…