nipo chuo kwa sasa na hio concert itanikuta nikiwa nyumbani ndio maana.Waambie una mtihani chuo unatakiwa uhudhurie haraka sana
nitajarabu ila tatizo confidence,naogopa kweli yani.Omba rafiki zako waje muombe rubusa pamoja,au waeleze ukweli kua unahitaji kwenda bila msaada wa rafiki zako.
23Una miaka mingapi?
niende wapi sa?Hamna namna hama tu nyumbani utakosa mengi
Ooh ok nilifikiri watu wanatoa ushauri kwa under 18. Wazazi wako wanachukuliaje matamasha?
negativeOoh ok nilifikiri watu wanatoa ushauri kwa under 18. Wazazi wako wanachukuliaje matamasha?
siko hivyo na siwezagi kudanganyaMbona nyie mna mbinu nyingi tu, ugua serious ukalazwe. Time ikifika toroka wodini kajirushe wee.
Asubuhi rudi wodini na mashuka, waambie umetoroshwa na wachawi kusikojulikana then watakurelease.
sio anasa ni kurefresh na exposureKijana, acha kuwaza maisha ya anasa kabla ya wakati wake. Tulia msaidie mama yako kukuna nazi, kukata kata vitunguu na kuosha masufuria na mwiko.
Duh, ok natumai utapata ushauri kwa wenye uzoefu na mazingira yako.negative