GE2010 Natamani uchaguzi ufanyike kila mwaka !!!

GE2010 Natamani uchaguzi ufanyike kila mwaka !!!

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,370
Reaction score
37,908
Wakuu jana na leo kunashughuli nyingi za ukarabati wa barabara zilizogeuka mahandaki hapa mjini Arusha.Maeneo ya Sanawari,barabara inayotenganisha Sheck Amri Abeid na CCM mkoa nyingine nyingi zimefanyikwa ukarabati jambo linaloashiria kwamba zitatumika kuombea kura wakati wa uchaguzi ndani ya CCM na baadae wakati wa uchaguzi mkuu 2010 October.

Napendekeza tuwe na uchaguzi kila mwaka pengine wananchi wanaweza kuondolewa kero zao kama mtindo wenyewe ni huu.
 
Back
Top Bottom