Natamani sana maisha haya

Kwahiyo wewe unataka dem wako akusaidie nani kumtunza kama uwezi kaa pembeni endelea kutamani tu hivyo hivyo acha wenzio wanao gharamia wale vitu vizuri
 
Sitaki kuamini hapo kwenye NOW ulimaanisha NO!

Sio lazima kuandika kiingereza mdogo wangu!
 
Mapenzi waliondoka nayo wahenga
Ni kweli kabisa , kama huna Fedha za kumwaaga tu hivyo hivyo aaaah utapata shida.
Mdada unakutana naye mara kaomba vocha mara kaomba nanihiii ooooh , kuna mapenzi kweli hapo?
 
Saka mapene mkuu,then find love...utaenjoy mdogo wangu
 
Pa1 sana Pesa ndio kila kitu kwa awa dada zetu kama auamin embe tembelea gari cku moja ndio utaamini kweli mapenzi cku izi amna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…