Totally sina hisia genye zinatokea nikipata au kuona vishawishSa mkuu unapataje ngenye na umesema huna hisia na mwanamke yeyote [emoji848]....na hizo ngenye unazitulizaje[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nko ok kabisa ila i wish tu kutooa kwa mda...Una matatizo wewe huwezi kosa mtoto wa kike wakuoa wakati wamejaa. Kamuone dktari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tofautisha herufi kubwa hapo juuSa mkuu unapataje NGENYE na umesema huna HISIA na mwanamke yeyote [emoji848]....na hizo ngenye unazitulizaje[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app