princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,062
Habarini wadau...Ebhana eeh nimekua nikikaa natamani kinyama kuoa yani niwe na manzi angu niiweke ndichi alaf iyo day ya harusi babaako nipendeze ile kibingwa knich knach niwe kama Mfalme!Namchukua mamiloo tunasololoa moko moko by ngoko zetu hadi ufukweni tupigwe na mapicha kama yote pale kwa fas dwas.
Sitaishia apo chaliangu,ukumbini mimi na Mama la mama tucheze ile kingareroo raia vuz*/shazi zishangilie iwe wiuwiu vibe kama lote yani watu'selfie na wabofonge kuwa akuna Harusi nzuri kama yetu asee dunia ya elfu18,,Isiishie apo bablae itakua ya ki'ndezi inatakiwa tunapewa na izo mazawadi ya ela ote.
Honeymoon ikiisha nimrudishe mamiloo wa watu kwao alaf wananirudishia mahari yangu alaf chaliloo niendelee na mbanga zangu za skuli na kusaka bangaloo na lyfe langu la u'single,Aina kwerekweche ni hayo tu wajuba....
@ChaliiYaKijengeJuu.