Ni rahisi kufahamu kile mwanamke anataka ila si mwanamke kufahamu kile mwanaume anatakaNa sisi wanaume muda mwingine hatuwaelewi nyie KE mnataka nini...
Kuwa tu mpole umeumbwa mwanamke
Mi nimwanamke wa mfano sema nadhani wanaume wa mfano wote wako mbinguni hawa mliopo ni wa maigizoDuuu pole sana..sa sijui kama uko serious au ndo ki abunwasi zaidi....labda ungetamani kuwa mwanamke wa mfano mzuri kwanza halafu uone kama hujapata mwanaume wa kufanana na wewe...
Muombe sana Mungu aweze kukufungua kutoka katika hicho kifungo cha kukataliwa au kutopata mwanaume we hitaji lako...ila muhimu badili mwenendo wako kwanza...
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Uko Sahihi kwa 49%Ni rahisi kufahamu kile mwanamke anataka ila si mwanamke kufahamu kile mwanaume anataka
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Umenena kama mhenga nimekukubariYachukulie mapenzi kama yanavyokuchukulia utaishi kwa raha.
Kuolewa au kuoa ni sheria.umri ni namba tu.ukiumizwa simama,usijali SONGA MBELE.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Ninacho kifua kaka ndo maana natamaniupo serious?
Uanaume uwe na kifua na roho ngumu mama!!
Tatizo unabweteka na vijianaume ambao wamekufanya utaman kuwa mwanaume.
Uanaume sio mchezo
Hujui nini mwanaume anataka?Ni rahisi kufahamu kile mwanamke anataka ila si mwanamke kufahamu kile mwanaume anataka
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kweli nimejifunza wanaume ukiishi nao kwa mapenzi inakula kwako bora niishi nao kwa akiliJivunie kwa kile ulichojaliwa na Mwenyenzi Mungu. "Akili" uliyopewa ndio msingi wa maisha yako. Tumia "akili" yako kutambua wanaume ni watu wa aina gani. Ishi nao kwa "akili" uliyojaliwa.
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Japo natendwa sana ila sijawahi kutamani kuwa mwanamkehata cc tunasema tungekua wanawake tungeonyesha mfano kwa wengne
Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
Wanajanvi heshima zenu! Kutokana na vituko maumivu usaliti na mateso tunayopata wanawake katika mapenzi nimekuwa kila mala nikijiwazia laiti ningekuwa mwanaume mahusiano yangu ningeyafanya mfano ili wanaume wenzangu wajue thamani ya penzi kwa wapenzi wao bc till now nazeeka sasa sijawahi jua wanaume wanataka nini mhhh wanaume nani awajuae. ##mawazo ya abunwasi #
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kuwa mwanaume haimaniishi utapata true love. Ni bahati tu hutokeaNdo hivo mkuu natamani pasipo tamanika
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Siyo kweliKweli nimejifunza wanaume ukiishi nao kwa mapenzi inakula kwako bora niishi nao kwa akili
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Aisee! Mimi binafsi sijawahi waza kuwa mwanamke hata mara moja...hata cc tunasema tungekua wanawake tungeonyesha mfano kwa wengne
Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app