Natamani ningeumbwa mwanaume

Haaa nakuona ulivosonya kabla ya kuandika bahati mbaya sijawahi kuwa na mchepuko sasa mwanaume anachunwaje kwa mfano

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo dada zetu baadhi yao (sijui na ww ukiwemo) mnakulupuka tu.. yan mnadandia gari kwa mbele ata ujui linaelekea wapi..

Umetongozwa leo unakuja kunipa jibu baada ya wiki 3, sasa unafikili nani atadumu na wewe ka sio kula mzigo na kusepa ili na wewe ukae wiki 3 ukiomba omba msamaha..

Wadada mjielewe tu sababu ya mwanaume kukuacha ni wewe mwenyew, we ndo utakayemfanya mwanaume atamani kwengine, we ndo utakaye mfanya asikupende

Mfano. 6 kwa 6 unaleta uzembe ipo siku ataenda 6 kwa 6 kwa jirani anayejua kupangia ngazi, hapo ndo utashanga maajabu ya musa mume kutoludi nyumbani, wala kukujulia hali

Sent from my Flair Z1 using JamiiForums mobile app
 
Na nini mkuu yaani iwish Mungu anifanyie mchakato japo miaka 2 demu wangu anaeza andika kitabu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Utamfanyia nini? Ila naelewa feelings zako
 
Nakwambia ndugu mpaka namtamani Marehemu shehe Yahya labda ngeenda kwake angenibadilishia hii nyota ya mnukanuka haaaaa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Kwani unanuka? [emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️
 
Ipende jinsi yako na mshukuru Mungu. Kinachotakiwa muombe Mungu akuonyeshe makusudi ya kukuumba ulivyo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Yani mungu ni wa ajabu sana ndo mana kakuumba k
Anyway najivunia kuwa me
 
Nature dicided u to be the way you are...usijilaumu.

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Njooooo kwangu sito kuumiza

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ahaa sawa

Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
 
Kama upo DAR mpaka mwezi huu wa saba ondoa shaka wewe tayari ni mwanaume.
 
Shida yako utakuwa na tamaa ebu mpende mtu wa hadhi yako acha kuota maisha ambayo hayapo!
 
Na sisi wanaume muda mwingine hatuwaelewi nyie KE mnataka nini...

Kuwa tu mpole umeumbwa mwanamke
 
Shida yako utakuwa na tamaa ebu mpende mtu wa hadhi yako acha kuota maisha ambayo hayapo!
Kitu sijaumbiwa ni tamaa jamani mweee m

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…