Natamani ningeumbwa mwanaume

ladypeace

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
935
Reaction score
507
Wanajanvi heshima zenu! Kutokana na vituko maumivu usaliti na mateso tunayopata wanawake katika mapenzi nimekuwa kila mala nikijiwazia laiti ningekuwa mwanaume mahusiano yangu ningeyafanya mfano ili wanaume wenzangu wajue thamani ya penzi kwa wapenzi wao bc till now nazeeka sasa sijawahi jua wanaume wanataka nini mhhh wanaume nani awajuae. ##mawazo ya abunwasi #

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Aisee, kwa kuwa ni Mawazo ya Abunwasi, basi tumuachie Abunwasi.

Yatakapokuwa mawazo yako, nitag nikujibu.

Msalimie Abunwasi.
 
Aisee, kwa kuwa ni Mawazo ya Abunwasi, basi tumuachie Abunwasi.

Yatakapokuwa mawazo yako, nitag nikujibu.

Msalimie Abunwasi.
Haaaaa haya bwana

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Pole Dada but life goes on akili kumkichwaaa, tatizo lako nyotaaa

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaa mkuu
Umenifurahisha leo.

Sent from my iPhone 20s using jamii forums mobile apps
 
kwann usiwe mfano kwa wasichana wenzako ukaacha michepuko na kuchuna wanaume??

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Haaa nakuona ulivosonya kabla ya kuandika bahati mbaya sijawahi kuwa na mchepuko sasa mwanaume anachunwaje kwa mfano

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaa mkuu
Umenifurahisha leo.

Sent from my iPhone 20s using jamii forums mobile apps
Na nini mkuu yaani iwish Mungu anifanyie mchakato japo miaka 2 demu wangu anaeza andika kitabu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Pole Dada but life goes on akili kumkichwaaa, tatizo lako nyotaaa

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nakwambia ndugu mpaka namtamani Marehemu shehe Yahya labda ngeenda kwake angenibadilishia hii nyota ya mnukanuka haaaaa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
hata cc tunasema tungekua wanawake tungeonyesha mfano kwa wengne

Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
 
hata cc tunasema tungekua wanawake tungeonyesha mfano kwa wengne

Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
Mhhhhh basi kumbe mawazo yangu si ya abunwasi maana kumbe wapo wanaotamani kama mimi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Duuu pole sana..sa sijui kama uko serious au ndo ki abunwasi zaidi....labda ungetamani kuwa mwanamke wa mfano mzuri kwanza halafu uone kama hujapata mwanaume wa kufanana na wewe...
Muombe sana Mungu aweze kukufungua kutoka katika hicho kifungo cha kukataliwa au kutopata mwanaume we hitaji lako...ila muhimu badili mwenendo wako kwanza...

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…