Natoka kazini nafika nyumbani usiku saa 3,mke wangu nae ndo anafika kutoka kazini,nae amechoka,namwambia tukaoge ananiambia nitangulie kwani amechoka.Naenda kuoga narudi HG anaweka chakula mezani,namuangaza mke wangu namkuta amepitiwa na usingizi kwenye kiti sababu za purukushani za kazini,namwamsha kisha wote tunajongea mezani,chakula sio kitam kama kile anachopika mke wangu,siku hizi hapiki,anakua kazini.Tunaingia kulala nimechoka nilitarajia mke wangu anipoze na mahangaiko ya kutwa nzima kumbe nae anahitaji wa kumpoza,hakuna wa kumpoza mwenzake wote usingizi unatupitia,tunalala kama tumezirai,hakuna muda wa kujadiliana kuhusu familia na maisha yetu.Unyumba tunapeana kimazoea tu,hakuna zile hisia na ham kama zamani.Kukicha watoto nao wanalalamika hatuna muda wa kukaa nao,hg hajui kuwalea kama mama yao.Watoto wanatuona kama wapita njia tu.Ee Mungu wanangu hawa watalelewaje?Najikuta nayatamani maisha niliyokulia mimi,natamani ningekuwa na umri wa baba yangu!!
Kujipaga na kuweka vipaumbele tu
Kama satsifaction yako iko kwenye pesa basi tafuta pesa
kama iko kwenye familia basi tenga muda wa familia.
Wee ni introvert au extrovert??

Pole sana...maisha ya sasa hasa kwa wanaoishi jiji la Dar lenye foleni za kufa mtu yanahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Hivi karibuni nilipata nafasi ya kuzungumza na marafiki wanaofanya kazi sehemu mbali mbali jijini kuhusu wanachokifanya ili kuwahi kazini.
Wengine wanadai kuamka saa 10 za alfajiri hupata kifungua kinywa ndani ya gari na wakimaliza kazi hawaingii majumbani mwao mpaka saa mbili za usiku au zaidi. Sasa saa ngapi utakuwa na nafasi ya kukaa na watoto, mume/mke na ilhali inabidi ukalale ili siku inayofuata uweze kuamka zile saa zako za saa 10 ya alfajiri.
hamieni mbagala, huko kimara, mbezi, tegeta, kibamba, mbweni, boko, tabata, ukonga ndo kunawaponza........... mie natarajia kuhamia charambe soon sitaki shida......
Mnafanya kazi gani?Natoka kazini nafika nyumbani usiku saa 3,mke wangu nae ndo anafika kutoka kazini,nae amechoka,namwambia tukaoge ananiambia nitangulie kwani amechoka.Naenda kuoga narudi HG anaweka chakula mezani,namuangaza mke wangu namkuta amepitiwa na usingizi kwenye kiti sababu za purukushani za kazini,namwamsha kisha wote tunajongea mezani,chakula sio kitam kama kile anachopika mke wangu,siku hizi hapiki,anakua kazini.Tunaingia kulala nimechoka nilitarajia mke wangu anipoze na mahangaiko ya kutwa nzima kumbe nae anahitaji wa kumpoza,hakuna wa kumpoza mwenzake wote usingizi unatupitia,tunalala kama tumezirai,hakuna muda wa kujadiliana kuhusu familia na maisha yetu.Unyumba tunapeana kimazoea tu,hakuna zile hisia na ham kama zamani.Kukicha watoto nao wanalalamika hatuna muda wa kukaa nao,hg hajui kuwalea kama mama yao.Watoto wanatuona kama wapita njia tu.Ee Mungu wanangu hawa watalelewaje?Najikuta nayatamani maisha niliyokulia mimi,natamani ningekuwa na umri wa baba yangu!!
Kuwa introvert au extrovert inasaidia eh?
Kwani mm unanijudge vipi kati ya hizo 2options? siwezi kuwa between?
Jiji limebadilika sana kiasi ambacho hata raha ya kuishi jijini kama ilivyokuwa miaka iliyopita imepotea kabisa. Sasa inyeshe na mvua hapo ndio unazidi kulichukia jiji.
Natoka kazini nafika nyumbani usiku saa 3,mke wangu nae ndo anafika kutoka kazini,nae amechoka,namwambia tukaoge ananiambia nitangulie kwani amechoka.Naenda kuoga narudi HG anaweka chakula mezani,namuangaza mke wangu namkuta amepitiwa na usingizi kwenye kiti sababu za purukushani za kazini,namwamsha kisha wote tunajongea mezani,chakula sio kitam kama kile anachopika mke wangu,siku hizi hapiki,anakua kazini.Tunaingia kulala nimechoka nilitarajia mke wangu anipoze na mahangaiko ya kutwa nzima kumbe nae anahitaji wa kumpoza,hakuna wa kumpoza mwenzake wote usingizi unatupitia,tunalala kama tumezirai,hakuna muda wa kujadiliana kuhusu familia na maisha yetu.Unyumba tunapeana kimazoea tu,hakuna zile hisia na ham kama zamani.Kukicha watoto nao wanalalamika hatuna muda wa kukaa nao,hg hajui kuwalea kama mama yao.Watoto wanatuona kama wapita njia tu.Ee Mungu wanangu hawa watalelewaje?Najikuta nayatamani maisha niliyokulia mimi,natamani ningekuwa na umri wa baba yangu!!
mmmmh hapo kwenye mvua ndo patamu hapo..... utatamani upae kwa ungo hadi kwako.....
Kujipaga na kuweka vipaumbele tu
Kama satsifaction yako iko kwenye pesa basi tafuta pesa
kama iko kwenye familia basi tenga muda wa familia.
Wee ni introvert au extrovert??
mie huku nilipo,'Tandahimba' wala sitamani kuzaliwa miaka hiyo,unavyovikosa mimi ndio ninavyovipata!!asbh twatoka saa 0815,dakika 5 tumefika kazini,saa 1430 tunatoka kazini pia dakika 5 tuko hom!!twafurahia maisha,pole
Kama unaishi Dar ni sawa..
Ila ukienda mikoani unapata muda wa kukaa na familia yako mpaka basi..
Wakati mwingine tusiache mihangaiko ya maisha itawale kila kitu..utakuja kukuta mwana si wako!