Natamani nikingo'e kibamia changu

Umesahau kusema unatamani kujitoa roho na uoni sababu ya kuendelea kuishi.....

sasa huo kaka utakuwa ujinga yaani kisa kukosa ile kitu inamesa nyenzake(kwa kimasai) nijitoe roho basi kama ndivyo ilivyo mapadri na masissta wasingekuwepo duniani
 
Hiviii likuubwa na hicho kidunchuu unachodai kazi yake c 1???

ndio lkn tofauti ipo kwenye matumizi tu wanawake wengi wanapenda sana atleast kitu kiwe medium haka kabamia ni kabamia kweli kweli kama ka mtoto vile aisee ni shidaah rafiki
 
Hicho ndicho nimekiona kwenye akili yako..

mimi sikatai na wala sina sababu ya kukataa mkuu ndio maana nikadondosha uzi huu ili nipate ushauri kama ndivyo ilivyo nitachukua hatua tu nikawaone watu wa saikolojia,thnx.
 
tafuta vitoto vidogo tu.
 
We lazima utakuwa na kitu mnato...ile tam tam sana ile!!!


iwe mnato sio mnato mi sijui nnachojali tu taamu yangu naipenda( nakapenda) sitaman size kubwa zaidi ya hicho maana ikisafiri mwezi tu ikija ni kama tunaanza upya ikiwa kama ya punda??? tehtehtehh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…