Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,584
- 17,527
Nshaedit
Ukisikia ukichaa wa mzungu ndio huuThe world ain't fair
Paka huyu Choupette amegonga vichwa vya habari kote duniani kwa
1.Kuwa na utajiri wa dola milioni $15m
2.Anadereva wake
3.Anawahudumu 2 (Françoise & Marjorie)
4.Ana mrembeshaji 1
5.Analala kitandani
6.Anakula mezani
7.Safari zake nyingi ni za ndege za kibinafsi
8. Anamiliki ukurasa wa instagram wenye wafuasi 260k
9. Anamiliki ipad
10. Alilipwa dola milioni $3 kwa kushiriki maonyesho
Soma zaidi kuhusu Paka huyu bilionea hapa
Choupette: Paka mwenye utajiri wa mamilioni ya dola: choupettesdiary Instagram
View attachment 1029119View attachment 1029120View attachment 1029121View attachment 1029122View attachment 1029123View attachment 1029124
Paka nae anazijua hizi styles
Unatamani kua paka hapa duniani mungu hakujibu anasuburi ufe ukawe paka shume huko mbinguni.The world ain't fair
Paka huyu Choupette amegonga vichwa vya habari kote duniani kwa
1.Kuwa na utajiri wa dola milioni $15m
2.Anadereva wake
3.Anawahudumu 2 (Françoise & Marjorie)
4.Ana mrembeshaji 1
5.Analala kitandani
6.Anakula mezani
7.Safari zake nyingi ni za ndege za kibinafsi
8. Anamiliki ukurasa wa instagram wenye wafuasi 260k
9. Anamiliki ipad
10. Alilipwa dola milioni $3 kwa kushiriki maonyesho
Soma zaidi kuhusu Paka huyu bilionea hapa
Choupette: Paka mwenye utajiri wa mamilioni ya dola: choupettesdiary Instagram
View attachment 1029119View attachment 1029120View attachment 1029121View attachment 1029122View attachment 1029123View attachment 1029124
Je huyo aliyemlisisha paka wake Mali ndio kasababisha hao unaowasema wale mlo mmoja au walale njaa? Acheni kutia lawama kwenye jitihada za watuKuna watu wanateseka hata kwa kupata mlo mmoja kwa siku lakin wengine wana mjazia Paka pesa kwenye Accounts wakat kimsing hawez kuzifanyia matumiz binafsi..
Kweli Dunia haiko fair
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani anapanda private jet bure? Na hao wahudumu wake si wanalipwa mshahara? Na chakula chake je? Maintenance ya nyumba na property right vipi? Unasemaje hawezi zitumia hizo fedha?Kuna watu wanateseka hata kwa kupata mlo mmoja kwa siku lakin wengine wana mjazia Paka pesa kwenye Accounts wakat kimsing hawez kuzifanyia matumiz binafsi..
Kweli Dunia haiko fair
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe unataka uchangamkie fursa nnKwan Huyo paka ana mke??nipe no zake nimuulize