Natamani kuwa Mkenya

Tutajuaje haukula RUSHWA kumtafutia mhamiaji haramu uhalali.....halafu mambo yenu/ yako na rafikizo kuna haja gani kumwaga humu jamvini?.......vyombo vya usalama vimshughulikie huyu.......mfisadi.
 
Tutajuaje haukula RUSHWA kumtafutia mhamiaji haramu uhalali.....halafu mambo yenu/ yako na rafikizo kuna haja gani kumwaga humu jamvini?.......vyombo vya usalama vimshughulikie huyu.......mfisadi.
acha kuwa na wivu wa kike dhidi ya nduguyo mkenya ambaye nimemsaidia kumpa hifadhi hapa dar.amekuja kutafuta ajira.
 
umetamani kuwa mkenya kisa barabara za juu?? duuuh pole.. reli?? mmh... ukienda ulaya si utaomba vingine wewe
 
Nenda Uhamiaji utapewa taratibu.
Umeleta ya nini huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…