Natamani kuwa Mkenya

Nyie ni vijana ambao mmekata tamaaa siku ukibahatika kuwa mknya utasema jambo jipya kbsa unataman kuwa mwanamke ukifanikiwa na hilo utasema unatamani kuwa kahaba nk
 
Unatuzuga unataka kuwa mkenya wakati unataka upitie kenya ili ujiunge na Alshabaab..
 
Mbona mnamshambulia na kumtukana mwenzenyu for airing his opinion? mnafaa kumuuliza maswali ili angalau mjue mbona alitoa kauli ile.
 

Duh! akina MOTOCHINI hawajapitia huku, ungekua umetusiwa hadi ukome.
 
Last edited by a moderator:
Nyie ni vijana ambao mmekata tamaaa siku ukibahatika kuwa mknya utasema jambo jipya kbsa unataman kuwa mwanamke ukifanikiwa na hilo utasema unatamani kuwa kahaba nk
Cc: MK254
 
Last edited by a moderator:
kweli hali ya UTAIFA haipo kwetu tutazid kuwa kama Kuku hatuna mwelekeo acha upuuzi wewe hamisha na ukoo wote basi
 

You deserve a cookie present for this nice reply,well put mkeii
 
Last edited by a moderator:

tamani na ndugu zako kuuliwa na Alshabaab, na wewe kuwa Mkabila
 
huwezi kuwa Mtanzania wewe.. kama nasema uongo nionyeyshe alama ya ndui kwenye mkono wako.
 
last week nimempokea rafiki yangu mkenya toka nairobi.ni graduate wa Kenyatta university.kaja tanzania kujaribu bahati yake ya kusaka maisha bora.akaniambia hana hamu na maisha ya kenya ya kukosa ajira.
kilicho muuma ni kwamba pale boda ya namanga,amegonga week moja wakati lengo lake ni kuishi bongo mda mrefu.nikamwambia aondoewe shaka.kapata rafiki "born-town" mtz.kila kitu kitaenda sawa.
MK254.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…