Tatizo la bongo kuna siasa maneno mengi bila vitendo
Tanzania haiendelei sababu ya watu kama ww, badala ya kutamani nchi yako ifanye maendeleo kama hayo we unataka kuukimbia utanzania.pumbavu sana
kenya watu wanajitambua aisee sio kama tanzania hata ukiangalia siasa ya kenya ni tofauti kabsa na bongo. Huku lowasa anajulikana ni mwizi na hawezi kuongea lakini coz anatumia hela basi watu wanataka achukue nchi ili wanufaike baadae that shame
acha pumba wewe
Kamwe usikane kwenu.
Hao .... unaowatamani wana shida nyingi sana. Bora hapa maghorofa ya mjini yanajengwa na kina LAPF, GEPF, NSSF, NHC.
Hao ..... kila jengo la mzungu
Tanzania ni nchi nzuri sana.
Muombe Mungu akusamehe.
Afu waonekana huna kazi we ......
Maana ungekuwa na kazi hakika unhefanya juhudi ili unapoishi pawe kama utakavyo....
Wewe.... sana
Ni week ya pili toka nitoke Kenya, vitu nilivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania. Watu wako serious bwana, kuna barabara za juu kila kona pia wanajenga railway ya kisasa kutoka Mombasa hadi Nairobi.
Sisi watanzania sijui tumelaaniwa nini jamani.

Mkuu upo sahihi, watanzania tuko nyuma sana, lakini tunapenda kupiga porojo kuwa tuko fit kila idara, lakini ukiangalia vya kushindanishwa kuanzia soka, michezo yote ya Olympic, uchumi nk tuko hoi! Mi mwenyewe nimetoka huko juzi, nawaambia wale ambao bado hawajafika, kenya wakisimama leo wasifanye chochote miaka 10,bado hatutowafikia chochote. Mi nashangaa watu wanao endelea kuwakumbatia ccm chama kilichoshindwa miaka 50 kuleta maendeleo, wakati wakenya waliachana na kanu zamaniii!!
Ngoja aje akupe mwongozo falcon mombasa
Ni week ya pili toka nitoke Kenya, vitu nilivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania. Watu wako serious bwana, kuna barabara za juu kila kona pia wanajenga railway ya kisasa kutoka Mombasa hadi Nairobi.
Sisi watanzania sijui tumelaaniwa nini jamani.
Hapo umeenda Kenya tu,Je ukienda uingereza utataka kuwa bwabwa?