nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Be the change you want to see in the World (Tanzania)
[MENTION]Bulldog [/MENTION]
Hiyo statement ameisema Mahtama Gandhi, nimesahau kuedit.
Afterall hao wakenya wanatamani kuhamia tanzania. Neema ipo huku bhana.
Ukimaliza kutamani kenya utarudi tena kuja kutuambia unatamani kuwa mbwa!!!!
Nimeona usaidie kumpa mawazo kijana naona kakata tamaa na bongo
Rafiki yetu MK254 atafurahi kuona hivi!
Wakenya wenyewe wanatamani kuwa watanzania, daily husumbuliwa na al-shabab yaani hawana amani
ni week ya 2 toka nitoke kenya vtu nlivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania..watu wako serious bwana....kuna barabara za juu kila kona...pia wanajenga railway ya kisasa kutoka mombasa adi nairobi...cc tanzania sijui tumelaaniwa nn jaman...
We tatizo lako kubwa sio jingine ila ni ushamba tu. Na kama sikosei wame ku"mombasa" huko ndo maana umenogewa.ni week ya 2 toka nitoke kenya vtu nlivyoviona huko sitamani hata kuwa mtanzania..watu wako serious bwana....kuna barabara za juu kila kona...pia wanajenga railway ya kisasa kutoka mombasa adi nairobi...cc tanzania sijui tumelaaniwa nn jaman...