Sitaki kukukatisha tamaa. Jaribu lakini wasiwasi wangu ni hiyo F ya biologia. Biology ni somo la msingi kwa mtu anaetaka kwenda kilimo au fani yeyote ya kilimo.

jaribu kuomba husikate tamaa uenda ukachukuliwa maana cku hivi vyuo vingi vimekua vinatanya biashara kudaili wanafunzi hela yako tu mdau husiofu jaribu
Sorry, comment yangu ilikuwa based kwenye ufahamu wangu wa mambo ya kilimo ambayo yanahitaji uelewa wa biology. Labda upitie maelekezo ya NACTE (http://nacte.go.tz/)kuhusu mahitaji ya program tofauti ili uweze kuchagua ipi itakufaa. Ukiipata NACTE angalia kando kulia QUICK LINKS chagua Central Admission System hapo utabofya GUIDEBOOKS then browse.