Cha muhimu kuwa makini na utapeli tu vyoo vipo vingi gharama yake ni kubwa sana scholarship ni za kubahatisha hasa hizo full,Habari wakuu
Elimu yangu Ni kidato cha sita comb pcm ndio nasubiri matokeo mwakahuu nawezaje kupata scholarship nchini Australia maana imekua Ni ndoto yangu kusoma uko lakini sina uwezo
Bora hata umemwambia kitu mswano sana mwanakwetuFaulu kwanza
Vyoo??Cha muhimu kuwa makini na utapeli tu vyoo vipo vingi gharama yake ni kubwa sana scholarship ni za kubahatisha hasa hizo full,
Karibu sana Canberra
Makosa madogo tu bossVyoo??
Ndiomkuu upo Australia?
Lazima tumwambie ukweli, matokeo ni kitu cha surprise sanaBora hata umemwambia kitu mswano sana mwanakwetu
Kila la kherijinsi nimefanya mtihan naamin nitafaulu ndio maana nataka ntafute fursa kabsa
Kuna dogo alienda form five na 1.7 form six katoka na 3.15Lazima tumwambie ukweli, matokeo ni kitu cha surprise sana
Cha muhimu awazie ndani ya nchi kwanzaKila la kheri
Faulu kwanza,jinsi nimefanya mtihan naamin nitafaulu ndio maana nataka ntafute fursa kabsa
Inaweza kutokea ila so kwa urahisi hivi mdogo wangukama nikipata half scholarship yn nkalipiwa school fees vipi accommodation siwez nkapata ajira yakujishikiza ?
nimekupata mkuuFaulu kwanza,
Scholarship za undergradutes ni ngumu na ni chache,
Scholarships nyingi ni kuanzia postgradutes ( madters & PhD )
Note: Ni ngumu sana kupata scholarship za kusoma kozi zenye miaka mingi.
Vile vile watoa scholarship pia wana mission zao, hivyo siyo kila kozi unaweza kupata scholarship