Una uhakika gani kua wengi wamepima?....
by the way if you are ready to face physical death then go for the testing.....
mi mwenyewe naogopa kwenda...
Una uhakika gani kua wengi wamepima?....
by the way if you are ready to face physical death then go for the testing.....
mi mwenyewe naogopa kwenda...
mie mwenyewe hiyo physical death naiogopaje.......,
naogopa kwakweli
Hiyo ni mojawapo ya best decision you ever made in your life..
Just go and Test bro.. Majibu yoyote utayopata, hautajutia uamuzi kwa ku test..
The possibility of an HIV free generations begin with you...
mie mwenyewe hiyo physical death naiogopaje.......,
naogopa kwakweli
Aaah acha hizo ujanja wote huoooo
miss strong napgopa mwenzio acha tu,hapo kwenye moyo kukubali hapo........Usiogope......ni rahisi sana kwa kweli.Moyo ukikubali kuwa wewe lazima ufe bas unajikuta unaanza kukubali matokeo.