hawanaga alama, ni kana usalama wa taifa wa zamani. Maana hawa wa siku hizi kufanya kazi huko ndo sifa za mtaani... Zamani ilikuwa huwezi sikia mkurugenzi wa usalama wa taifa eti anajibishana na wanasiasa..
hahahaha,,kweli kabisa mkuu,,Walikuwa wanaitwa Invisibles sasa hivi unakutana na Raia mtaaani akishakunywa Serengeti mbili anaanza kijitapa Ooooh mimi Usalama wa Taifa,,,,
Huu Ni Mwaka wa 3 sasa ndani ya JF huwaga Ban naisikia tu natamani na mm niipate siku moja.Mwenye uelewa anieleweshe ukipigwa Ban unaishije? Au nifanye kitu Gani na mm hiyo Ban niipate?