Natamani kuona Rais Samia akinywa juisi Ikulu na Tundu Lissu

jindundu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2025
Posts
679
Reaction score
580
Lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja. Nasema hivi; natamani kuona siku moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani, anakunywa juisi Ikulu na Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ambaye yuko gerezani akishtakiwa kwa Kesi ya Uhaini na Uchochezi.

Hili halitakuwa jambo geni kwa Rais kunywa juisi na wapinzani wake wa Kisiasa. Rais Kikwete enzi za uongozi wake aliwahi kuwaita wapinzani wakakaa meza moja Ikulu, na kunywa juisi mambo yakaenda.

Wanaofuatilia Siasa za Dunia wanajua upinzani uliopo baina ya Urusi na Marekani. Ni upinzani wa miaka nenda rudi. Majuma kadhaa yaliyopita Donald Trump alitoa siku kumi kwa Rais wa Urusi Vladmir Putin kukomesha vita na Ukraine ama la, Urusi ikumbane na vikwazo babu kubwa vya kibiashara baina yake, ndia na China.

Ajabu ni kwamba aliyetoa siku kumi huyo huyo kaomba kukaa meza moja na Putin ili wazungumze na mazungumzo yamefanyika jana huko Alaska kwenye Kambi moja ya Jeshi la Marekani. Wamekula wamekunywa.

Hiyo ndiyo Siasa, huo ndio ukomavu na huo ndio ukubwa.

Ukubwa jalala! Rais Samia, wewe ni Mwanasiasa mzoefu, naamini kwa Imani yako unayo hofu ya Mungu. Tundu Lissu ni mpinzani wako Kisiasa, kama ulivyofuta ya mtangulizi wako, ukawarudisha nyumbani akina Lissu na wenzake, FUTA ujinga wowote waliofanya kwako. mtoe humo alimo sasa.

Kaa naye meza moja mzungumze juu ya namna bora ya kuendesha Siasa hapa nchini kwa maslahi mapana ya nchi na watu wake.

Kila mtu anaweza kupata maono juu ya jambo lolote hata kama siyo Mchungaji au Nabii.
 
Lissu LAZIMA ale kitanzi ili wengine wajifunze!
 
Wanamtandao hapo nafasi yao itakua wapi?🤣🤣🤣🤣
 
Angalia maudhui ya hoja usiangalie juisy tu kwa vile ni tamu. Go beyond that!
 
Itapendeza sana, wala hatutamuona Lissu kusarenda wala kusaliti wananchi wanaomuunga mkono katika kudai haki. Join them if you can't fight them, vita amevipiga inatosha, aende ikulu kunywa juisi wananchi tutajua namna nyingine ya kupigania haki zetu za kidemokrasia kwa mtindo mwingine na kwa kiongozi mwingine. Kwa wakati wake amepambania wananchi mpaka basi, ngoma bado ngumu inatosha akale raha na kufarijika huko ikulu atakapokaribishwa na rais Samia kwa mazungumzo ya kuleta maridhiano na muafaka wa siasa za nchi yetu
 
Unamaana gani kusema Samia na Tundu Lissu si viongozi? Samia ni Rais na pia ni Mgombea Urais wa CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Tundu Lissu ni Mwenyekiti wa CHADEMA ambacho ni Chama Kikuu cha upinzani. Lissu ni Mwanasiasa maarufu na mwenye ushawishi zaidi ya viongozi wengine wa upinzani. Lissu na CHADEMA yake ndiye anatofautiana na Samia na CCM yake. Unapokataa mazungumzo kwa hatma nzuri ya Taifa letu unataka Nini??
 
Kwani Lissu kunywa Juisy Ikulu na Rais Samia ni kuwasariti watanzania? Ni mwiko kwa viongozi wa Kisiasa kukaa meza moja kujadiri tofauti zao kwa maslahi ya Taifa? Hivi Siasa mnataka ziwe za aina gani? Au upinzani maana yake ni ugomvi, kutokuongea na kutakiana mabaya?? Hizi Siasa zinafaida gani katika ulimwengu wa Leo??
 
Jana wakati wanakula vitu naona Kuna jamaa kama chizi anacheza cheza cheza
 
Lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja. Nasema hivi; natamani kuona siku moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani, anakunywa juisi Ikulu na Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ambaye yuko gerezani akishtakiwa kwa Kesi ya Uhaini na Uchochezi.

Hili halitakuwa jambo geni kwa Rais kunywa juisi na wapinzani wake wa Kisiasa. Rais Kikwete enzi za uongozi wake aliwahi kuwaita wapinzani wakakaa meza moja Ikulu, na kunywa juisi mambo yakaenda.

Wanaofuatilia Siasa za Dunia wanajua upinzani uliopo baina ya Urusi na Marekani. Ni upinzani wa miaka nenda rudi. Majuma kadhaa yaliyopita Donald Trump alitoa siku kumi kwa Rais wa Urusi Vladmir Putin kukomesha vita na Ukraine ama la, Urusi ikumbane na vikwazo babu kubwa vya kibiashara baina yake, ndia na China.

Ajabu ni kwamba aliyetoa siku kumi huyo huyo kaomba kukaa meza moja na Putin ili wazungumze na mazungumzo yamefanyika jana huko Alaska kwenye Kambi moja ya Jeshi la Marekani. Wamekula wamekunywa.

Hiyo ndiyo Siasa, huo ndio ukomavu na huo ndio ukubwa.

Ukubwa jalala! Rais Samia, wewe ni Mwanasiasa mzoefu, naamini kwa Imani yako unayo hofu ya Mungu. Tundu Lissu ni mpinzani wako Kisiasa, kama ulivyofuta ya mtangulizi wako, ukawarudisha nyumbani akina Lissu na wenzake, FUTA ujinga wowote waliofanya kwako. mtoe humo alimo sasa.

Kaa naye meza moja mzungumze juu ya namna bora ya kuendesha Siasa hapa nchini kwa maslahi mapana ya nchi na watu wake.

Kila mtu anaweza kupata maono juu ya jambo lolote hata kama siyo Mchungaji au Nabii.
Huyo kigagula si atamuwekea sumu ammalize kabisa, Samia ni mwanamke mwenye roho mbaya sana shetani mwenyewe anasubiri.
 
Kwa nini kukitajwa ikulu, watu wanataja kwenda kunywa juice? Kwa nini isitajwe chai maana ndilo neno lililozoeleka zaidi hapa Tanzania? Kwanza chai ndio inayoambatana na mapochopocho (sio maposhoposho) mengi zaidi kama vitumbua, mikate, maandazi, chapati, donati, mayai, ndizi, mihogo, karanga, nk.,nk.
 
Back
Top Bottom