Natamani kuolewa

Hongera na omba mungu upate mume aliye mwema, wanaume wetu hawa ni majanga matupu kuwa mvumilivu utapata
 
tuko hapa jamii forum wanaume wao wajii....weka picha.
 
Unatuuliza sisi kwani huyo Mungu unayemuomba ameshindwa kazi? Acha matangazo au nia yako ulengwe humu?
 
Nywele bandia, kucha bandia, tabasamu bandia, nyusi bandia halafu wengiiiii wanataka waume wa kweli wakati yeye kila kitu feki dah!! Wadada mtaishia kucheza kwaito kwenye harusi za wenzenu hadi miguu iote sugu!!

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 

Utapata wajinga wa kuwachuna umalize shule.
 

inaelekea wewe sio muolewaji ndio tatizo
 


Usichoke kusali kwa ajili hiyo Mungu atasikiliza sala zako.
 
Miaka 27....!
Haraka ya nini? Subiri baraka za Mungu
 
mmmmmmmmh... Kweli Mungu humpa kula mtu ubavu wake, ikitokea ukajichukulia ubavu wa mwenzako, hakika utakinywea kile kikombe Yesu alichonywea wakati anawafia waja wake...

Hahaha. Sasa shughuli inakuja kwamba utajuaje ubavu uliojitwalia ni wakwako na sio wa teambazazi?
 
Hahaha. Sasa shughuli inakuja kwamba utajuaje ubavu uliojitwalia ni wakwako na sio wa teambazazi?

Hapo sasa...
umemsoma huyo sista lakini? Ukibugi ukaingia chaka la namna hiyo wallah utaomba mbingu zishuke!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…