Natamani kuolewa

Dada nimecheka kidogo hapo "hujui wanapatika wapi waume waoaji"
Sali sana manake hao waoaji sijui wako wapi siku hizi
 
wakati tukiendelea kupata maoni mbali mbali kutoka kwa wadau...

tupate kiburudisho kidogo...

hahaha Excel,team video upo juu!
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wa wakifika 3rd year halafu mambo hayaeleweki huwa wanaanza kuchanganyikiwa. Either way, tulia tu utapata wa kukupenda. Ila usiwe mchaguzi sana
 
Dunia imeisha,
unaweza kukuta wewe ni DUME LA NGUVU NA UNAHAMU YA KUOLEWA
 
desperate time.....utatumiwa wewe na wanaume mpaka utupu wako uote sugu!kuwa makini
 
kitulize watakuja,,,ngoja wazisake....hela imekua adimu , so is waoaji:mvutaji:
 
Watoto wa mjini wanasema nipe tano,nimeipenda hii Lara

Wa mbili hashiki moja mama,jitambulishe who you are otherwise u will waste time cause watazidi kukuchezea.Ukijitambua wewe ni wa aina gani utajua unachotaka hutokuwa desperate, utakuwa na misimamo na utajua mtu gani anayekufaa.Hivi vitu vinatakiwa vije naturally na si kuvitafuta.





Maisha ni kama kioo,ukicheka na yenyewe yanacheka
 
wataka mme awe na gari nzuri, nyumba nzuri, kazi nzuri, akaunti 6 za benki halafu awe mcha Mungu, sawa tumekuelewa endelea tu kumuomba Mungu atakupa. Kumbuka maombi ya mwenye dhambi ni makelele na chukizo mbele za Mungu
 

Sijui ushauriweje, weka bandiko love connect.
 
Unataman kuolewa unasifa za kuwa mke?? Kwa umri huo ungekuwa na sifa za mke ungekuwa tayar na mchumba....... Tatzo lenu mwanzon huwa mnajifanya dhahabu lakin baada ya kugundua umekuwa mstareheshaji ndio unaanza kutaka mume....... Hakuna mwanaume anayetaka kuoa mwanamke wamjin....... Yawezekana umechoropoa mimba huko mpaka umechoka sasa ndio unataka mtu wa kumuuzia mbuz kwenye gunia?! KIZURI CHA JIUZA😛eace:
 
Ha ha haaaaaa! kwan we dini gani? Kama vp nenda kanisani au msikitini ukaombewe maana unatisha miaka 27 unasubiri nn? au ndo ulikuwa unakula ujana kwanza? Unajua mambo kam hayo huwa yanakuja tu automatically ukiona hayakujii ujue unakasoro aidha hukujituliza ama unatabia ambayo si nzuri otherwise tuseme umerogwa basi
 
mmmmmmmmh... Kweli Mungu humpa kula mtu ubavu wake, ikitokea ukajichukulia ubavu wa mwenzako, hakika utakinywea kile kikombe Yesu alichonywea wakati anawafia waja wake...
 
Ukitaka mume kutoka kwa Mungu acha kwanza uzinzi na kugegedwa na waume wa watu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…