Mambo ovyoo kabsaa... Cku hizi napata chin y kiwango. Ila ya kula na family napata... For me simfurahii hata kdgMimi binafsi najisikia furaha sana, niliwaamini chadema, ila baada ya gia kubadiulishiwa hewani, nikamchagua tingatinga Magufuli. Sijawai kujuta na sitojuta.
Wale mlioshabikia ukawa mnajisikiaje sasa
Mambo ovyoo kabsaa... Cku hizi napata chin y kiwango. Ila ya kula na family napata... For me simfurahii hata kdg
Kama ulitegemea za haramu imekula kwako,mbari said:Mambo ovyoo kabsaa... Cku hizi napata chin y kiwango. Ila ya kula na family napata... For me simfurahii hata kdg