iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 452
- 1,131
Natamani kujiunga na jeshi la Tanzanzania,
Je ni vigezo gani natakiwa niwe navyo ama ni mbinu gani naweza kufanya ili nijiunge na jeshi la Tanzania.
Natamani sana kuwa Mwanajeshi nitetee nchi yangu.