Asanteni kwa ushauri. Nitaufanyia kazi. Ila kumbukeni kuwa huyu mwanaume ni muislamu kwa hiyo nilijua fika kuwa atanioa. Na mara kwa mara alikuwa anaamia kwangu na kukaa hata siku mbili hivyo niliona kama hamna jinsi ya yeye kunitema. Nitajitahidi kumsahau.
Wazur walishakufa KIMADA hahahahah we wala huna uzuri wowote. We ulikuwa KIPOOZEO tu
Kafie mbali huko!!
KIMADA kumsahau itakuwa ngumu bora tuujifie zako kama unavyotaman. Maana usijekupata mwanaume mwingine siku akikuacha utataka kumuua yeye sasa...Wanaotaka kufa huwa hawasemi wanatenda tu fasta we mpka umekuja jf na kuandika gazet lote hilooo hahahahaha unalo!Asanteni kwa ushauri. Nitaufanyia kazi. Ila kumbukeni kuwa huyu mwanaume ni muislamu kwa hiyo nilijua fika kuwa atanioa. Na mara kwa mara alikuwa anaamia kwangu na kukaa hata siku mbili hivyo niliona kama hamna jinsi ya yeye kunitema. Nitajitahidi kumsahau.
We bacha, mke tena??Bacha hujui mi ni mdada mwenye figure 8yaani ni mzur kweli hata huyu KIMADA hanifikii hahahahahahahahaha.Mi sifagilii hawa watu wanaiba waume Wa wenzao.Unajua nini Uda'a,unaweza kuta mkeo nae ni kipozeo cha njemba nyingine lol...haya mambo bana.......................
BADILISHA USERNAME MKUU....!unajiitaje KIMADA?Habari zenu wana Jamii Forum. Mimi ni mgeni humu. Ila si mgeni ki hivyo nimekuwa natembelea bila kuwa member. Nimeamua kujiunga ili nipate kushauriwa kwani shida niliyonayo siwezi kushare na mtu ninaye mjua. Mimi ni mdada wa miaka 32. Ni mrembo sana yaani wale mnaoita 8 figure. Sijisifii ila hilo nimeona nilitamke ili muweze kuielewa vizuri mada yangu. Nilitokea kumpenda sana kijana mmoja na kuja kugundua baada ya miezi miwili kuwa ni mume wa mtu. Kaka ni muislamu hivyo havai pete na kwa kuwa ni kijana sikuweza kudhania kuwa ni mume wa mtu na kwa kweli ningejua nisinge mpa moyo wangu. Tatizo niligundua kuwa kaoa wakati nimeshampenda. Na ni yeye mwenyewe alinitamkia kuwa nina mke baada ya kujua sitaweza kumwacha kwani nilikuwa nimekolea. Tumekaa kwenye uhusiano kwa muda wa mwaka na nusu sasa mpaka pale mkewe alipokuja kugundua. Mimi mkewe nilikuwa nimeshamjua. Ni mdada msomi na ana kazi nzuri sana ila ni wa kawaida na aniingii hata nusu kwa uzuri kwa hiyo nilijua tu kuwa mumewe atakuwa ananipenda mimi zaidi na labda kuna siku nitakuwa mke wa pili kwani ni muislamu. Tatizo limeanza miezi miwili iliyopita. Jamaa alinipigia simu akanambia mkewe amejua kuwa tuna uhusiano, kwa hiyo mimi na yeye basi kwani hataki kuvunja ndoa yake. Nimeumia sana imagine mwaka na nusu na nimeshampenda sana. Nimejitahidi kumfuata ofisini kwao secretary wake ananambia jamaa kasafiri wakati gari naliona nje ya ofisi. Nimempigia simu simpati naona amebadili namba. Hivi kweli wanaume mnaweza kuwa wakatili hivi? Kibaya zaidi mkewe kutwa ananipigia simu na kunitisha kuwa atanifukuzisha kazi. Mimi sijali kufukuzwa kazi kwani ninampenda sana huyo mwanaume. Nishaurini nifanyeje kwa wale wenye uzoefu wa kuwa vimada na wale wenye nyumba ndogo. Msinitukane jamani. Mimi sijawahi maishani mwangu kutembea na mume wa mtu zaidi ya huyu na sikuwahi kuwaza kuwa yatanikuta. Hivi nyie wanawake wa kwenye ndoa uwa mnawaroga wame zenu? Iweje mtu niliyekuwa nampagawisha the other day leo aseme sitaki kukuona tena kisa tu mkewe kajua? Na huyu mkewe nimfanyeje aache kunifuata fuata. Maana amekuwa ananipa vitisho kila kukicha mpaka nahofia uhai wangu. Mumewe mwenyewe kesha niacha na yeye bado analeta mikwara wakati nikimwangalia hata ngumi moja namuua.
Ni kamada sasa, jina limemfaa sana hilo mwache tuBADILISHA USERNAME MKUU....!unajiitaje KIMADA?
We bacha, mke tena??Bacha hujui mi ni mdada mwenye figure 8yaani ni mzur kweli hata huyu KIMADA hanifikii hahahahahahahahaha.Mi sifagilii hawa watu wanaiba waume Wa wenzao.
Unatamani kujiua na Mkewe anakutishia kukuua, bora ujimalize kabisa, shame on u, ndoa zetu hazina furaha sababu ya nyie waiba waume za watu, ulijua umepata kumbe ulipatikana nyambafu we
Kweli kabisa Kigogo..haaaaa kweli kuishi kwingi ni kuona mengi
Ohh nimekusoma,Na hv wanaume roho nyepes km karatas..Lazima pachimbike...usihofu Uda'a, najua kama wewe ni she,lakini mie nilikuwa najiuliza tu hapa,kuwa sijui mwanaume utajisikia vipi unapokuta mkeo,nae ni kimada wa njemba nyingine!!!!!!lol...
Jina hilo linaendana na tabia yake...BADILISHA USERNAME MKUU....!unajiitaje KIMADA?
aljunuuni funuuuni
kila mwendawazimu ana fani yake lol
Kimada ni baadhi ya wale kina dada ambao wakisalimia dada habari huconclude kaambiwa dada we mzuri, akambiwa naomba date kwa mazungumzo zaid anatafsiri kaambiwa nakupenda, sasa akiambiwa nakupenda, yeye anaconclude kabisaaa kuwa kaambiwa nitakuoa!! We utafikiriaje kuwa kwa kuwa ni mwislamu anawezaoa wake wawili sijui, basi huyo wa pili ni wewe ???
Kimada ni baadhi ya wale kina dada ambao wakisalimia dada habari huconclude kaambiwa dada we mzuri, akambiwa naomba date kwa mazungumzo zaid anatafsiri kaambiwa nakupenda, sasa akiambiwa nakupenda, yeye anaconclude kabisaaa kuwa kaambiwa nitakuoa!! We utafikiriaje kuwa kwa kuwa ni mwislamu anawezaoa wake wawili sijui, basi huyo wa pili ni wewe ???