nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
Ngumu brother,yaani mambo sio rahisi hivyo siku hizi maisha yamekuwa ya kwenye social network,kuigiza tu kila kituOa tu madem kibao wanasaka wa kuwasitiri
Na ww waigizie kuwaoa hivyo hivyoNgumu brother,yaani mambo sio rahisi hivyo siku hizi maisha yamekuwa ya kwenye social network,kuigiza tu kila kitu
Hahhahaha,sasa tuliozoea kuishi maisha yetu kuigiza hatuwezi,yaani we can't fake.Na ww waigizie kuwaoa hivyo hivyo
Changamoto iliyopo haujui yupi ni sahihi kwa kuangalia tu,na ni mabingwa wa kuigiza balaaUnatamani?? Bas sawa endelea kutamani
We kwako mtu sahihi niyupiChangamoto iliyopo haujui yupi ni sahihi kwa kuangalia tu,na ni mabingwa wa kuigiza balaa
Unatamani kuishi na mwanamke.... !!!! Nilidhani unautayari wa kuishi na mwanamke....!!! Tamaa hupanda na kushuka....!!!Kuna kitambo sana tangu nitingane na mwanamke niliyezaa nae,sasa nowdays kumekuwa na tumawazo twa kutamani kuwa na mtu wangu,ila sio wale niliowahi kuwa nao najitakia mpya,charming,anajua kazi za mke nk....unajua vile unajaribu kuimagine halafu unakuta nyumba inapilika kila kona,kingine kilichochangia haya mawazo juzi kati niliumwa yaani automatically mambo yakawa yanapwaya and u see the gape......
I have these feelings for a while now.
Labda sijui kutafuta,maana mbona i am working hard sanaUsitamani oa mkuu, wewe jitose tu ndoani