Tuanzie hapa kwa kweli.Kwani kumpata ulianzaje?
Halafu my wife wake akagongwe na mtu mwingine??! Inauma sanaWaachie hela za kutosha na kitu cha kuwapa kipato (investment) yoyote then usepe
Ohoo mpk anafikia hatua anataka kumuacha ina mana kashakubaliana na yoteHalafu my wife wake akagongwe na mtu mwingine??! Inauma sana
I won't leave her(my wife) no matter what!!! Kwa jinsi ninavyompenda....siwez kumwacha aisee...love you fasmsOhoo mpk anafikia hatua anataka kumuacha ina mana kashakubaliana na yote

Big up kwakoI won't leave her(my wife) no matter what!!! Kwa jinsi ninavyompenda....siwez kumwacha aisee...love you fasms![]()
![]()
![]()
![]()
.......uyu sijui ndoa yake ilikua ya kulazimishia
Anakurudishaje nyuma kimaendeleo na stress zipi anakupa?Ushauri jaman,natamani kuishi bachela kwa sababu nahisi wife ananirudisha nyuma kimaendeleo na ananipa stress tu,lkn kinachonipa tabu ni mtoto tuliemzaa kwa sasa ana 3yrs najiuliza nianzaje ili nimuache