Natamani kufanya kazi JKT

Natamani kufanya kazi JKT

masanjuo

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
200
Reaction score
341
Mimi naitwa dada viollar ninaumri wa miaka 28.

Kwa sasa kilichonileta Mimi napenda sana kazi ya jeshi kutoka kutoka muda mrefu sana sana naomba nimeenda JKT nmekaa OP Merelan nmelud hamna kitu.

Akili imeshndwa kufanya chochote inawaza JKT tu jamani Wana JF naombn ushirikian namawazo yenu jinsi yakupata tu hizi kazi ili mradi zikitok wa12 huu namm niweze kutimiza malengo. Karibun kwa ushauri na maoni bila kusahau msaada pia njia ntakayotumia namimi niingie chomboni.
 
Mimi naitwa dada viollar ninaumri wa miak 28 Kwa sasa kilichonileta Mimi napenda sana kazi ya jeshi kutoka kutoka mda mrefu sana sana naomba nmeenda jkt nmekaa op merelan nmelud Amna kitu jmn yaan akili imeshndwa kufany chocht inawaz jkt tu jmn Wana jf naombn ushirikian namawazo yenu jinsi yakupata tu izi kazi ili mradi zikitok wa12 huu namm niweze kutimiza malengo ...karibn Kwa ushauri na maoni bila kusahau msaada pia njia ntakayotumia namm niingie chomboni
Pole sana.
 
Nakuombea lakini pia nakushauri uwe na plan B maana kwenye maisha si kila tutakacho huwa
 
Mimi naitwa dada viollar ninaumri wa miak 28 Kwa sasa kilichonileta Mimi napenda sana kazi ya jeshi kutoka kutoka mda mrefu sana sana naomba nmeenda jkt nmekaa op merelan nmelud Amna kitu jmn yaan akili imeshndwa kufany chocht inawaz jkt tu jmn Wana jf naombn ushirikian namawazo yenu jinsi yakupata tu izi kazi ili mradi zikitok wa12 huu namm niweze kutimiza malengo ...karibn Kwa ushauri na maoni bila kusahau msaada pia njia ntakayotumia namm niingie chomboni

Hutaki tena mume [emoji12][emoji12]
 
Lonja ndio nini!
Mi najua ronja
Unajua ilitokea kwenye neno gani?
Mfano As you were ikawa azweaa
Lonja kwa navosikia mimi watu wanavotamka ila kama ni CPL Naronyo lazima atasema ronja poti au bado unarara rara?
 
Mtoa uzi jiandae kisaikolojia, jiande na CV yako na all supporting documents, nenda HQ ya JKT omba kuonana na operations officer, muda mwingine ujasiri unahitajika, humu wengi watakukatisha tamaa.
 
Kampuni Iko wap na inahusika nanin

Ila pia usifosi sana mishe 1 utaishia kutoa hela na utelezi, kwa mfano mimi naweza nkashawishika kukuomba utelezi ni udhaifu wangu ndo mana sitakagi kusaidia wanawake

kuna mishe ya kampuni ya kichina ipo Kakola kahama, wanalipwa vzr mno mpaka walinzi waota vitambi kweny mgodi huo.

Acha kulialia nenda mikoani nenda na cheti cha JKT makampuni ya ulinzi ni mengi sanaaa
 
Back
Top Bottom