Am not the one ingependeza ukachek kichwa yako haiko normal
Am not the one ingependeza ukachek kichwa yako haiko normal
Mchana umekuja kumsifia mmeo jioni umerudi hujaolewa
una matatizo gani mwanamke???

Wakubwa heshima kwenu!
Kama mnakumbuka nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu kuolewa na mpnz wangu ambaye n muslim na mie ni mkristo!
Nimefikiria sana nimeona ni bora niachane nae coz baba yangu amesema kama nikiikana imani yake nitakuwa nimemkana na yeye tatizo ni kwamba huyu mkaka jaman nampenda sana sana nafikiria ntaolew na nani coz kuna wanaume kama 10 wananitaka lakini wenye uwezo wa kifedha wote ni waume za watu,vijana wanaontaka unakuta wengne wanachuo n.kntaishije bilaa mpenz??ntadate na waume za watu??ntaipata wapi furaha nliyokuwa naipata?siwez kudate na mtu mwenye maisha ya chini ni kosa kabisa kwa wazazi wangu wanataka mtu msomi tena mtu maarufu!!nafikiria hata kufa niachane na haya maisha
Ushaui tafadhali
Hahahahahaha i think unawewesek kubali umeachwa tu na ukiendelea hupati kitu pale ndiyo utaelewa hili jiji lina wenywe na wenyewe ndo siye shame on yu!
Kwa Majibu Yako Haya Ya Jinsi Hii Afadhali Ufe Tuu!
Naona umeedit fasta
Hahahahahaha i think unawewesek kubali umeachwa tu na ukiendelea hupati kitu pale ndiyo utaelewa hili jiji lina wenywe na wenyewe ndo siye shame on yu!
mwache mwenzio bhana ndio anajifunza kupost na kutafuta umaarufu jf..... Ww hujui kwamba yalishabomolewa sasa hamna sehem ya kuuzia ameona aje jf laba atapata mteja
bora uliwahi kufuta comments zako make ulijichanganya vibaya