anza na game zake za kuendeshea hayo malori. Hizo game zinaitwa truck simulator. Zipo nyingi hizo game ila niliyoiona nzuri zaidi ni euro truck simulator. Ukishazoea game ndo unaendesha kwel. Tena ukipata na joystick ndo inakuwa tam zaid hizo game.
Naaam! Leseni ni hizi hizi Mkuu! Nitafute wiki ijayo nikupashe mazoezi nitaelekea Nairobi na Scania 124; 420p.
Ningependa upashe mpaka Namanga urudi! Hiyo inaitwa Mabo!
Madereva wa sasa wanaraha sana. Kuna yale malori ya zamani yanaitwa TATA yalikuwa noumaaa... Kutia gia mpka usimame dereva huku unaipa moral support ya matusi, halafu kukunja kona lazma uwe na utingo pembeni kashikilia dumu la maji huku anakumwagia kukupoza. Kupandisha mlima ndo usiseme.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.