Natamani kuchunwa.

GITWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
1,720
Reaction score
2,048
Kichwa cha habari kinajieleza. Nina Pesa za kutosha nina pesa za ila mtu wa kutumia nae mpaka nihisi nachunwa haonekani.
 
umefanya mauzo ya ng'ombé au mafuta ya mawese?!
 
 
Last edited by a moderator:
Nimeuza dhahabu na sasa natembea na begi la Pesa. Maana account za bank nishaweka pesa za kutosha kula mpaka wajukuu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…