Nikikosea kuzungumza lugha ya Kiingereza sisikitiki wala kuona aibu. Lakini nikikosea kuzungumza kiswahili au lugha ya kabila langu kwa kuzaliwa natamani ardhi ipasuke na kunimeza kwa ajiri ya masikitiko na aibu. Wewe huwa unajisikiaje ukikosea kiingereza?

kiingereza huwa sijali kabisa ilimradi wameelewa basi,ila lugha yangu sasa ndo najisikia mtumwa kweli maana adi leo siijui vizuri
ata sijui niazie wapi kuijua aisee