Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,473 Apr 21, 2011 #61 uporoto01 said: Hayo ya sharing ni mdomoni tu kwa lizzy tutaonana wabaya na watu kibao. Click to expand... Aahhh afadhali!Nlishaanza kuangalia pa kukimbilia maana kushewa siwezi mie!
uporoto01 said: Hayo ya sharing ni mdomoni tu kwa lizzy tutaonana wabaya na watu kibao. Click to expand... Aahhh afadhali!Nlishaanza kuangalia pa kukimbilia maana kushewa siwezi mie!
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,808 Apr 21, 2011 #62 Kama huo mwiko wa kupikia hilo jiko utapikia kwenye jiko moja, utampata.
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Apr 21, 2011 #63 Remmy said: Kama huo mwiko wa kupikia hilo jiko utapikia kwenye jiko moja, utampata. Click to expand... Unajua majiko mengine makubwa sana kama yale ya kwenye sherehe au msiba kwahiyo unahitaji miiko miwili au zaidi lol
Remmy said: Kama huo mwiko wa kupikia hilo jiko utapikia kwenye jiko moja, utampata. Click to expand... Unajua majiko mengine makubwa sana kama yale ya kwenye sherehe au msiba kwahiyo unahitaji miiko miwili au zaidi lol
M mama mia Member Joined Apr 11, 2011 Posts 11 Reaction score 3 Apr 21, 2011 #64 Njoo chukua la kwangu la mchina ila usisahau kupita kwa mangi na chupa ya maftataa, miye cku hiz sipiki
Njoo chukua la kwangu la mchina ila usisahau kupita kwa mangi na chupa ya maftataa, miye cku hiz sipiki
bacha JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 4,282 Reaction score 799 Apr 21, 2011 #65 mama mia said: Njoo chukua la kwangu la mchina ila usisahau kupita kwa mangi na chupa ya maftataa, miye cku hiz sipiki Click to expand... Uzuri sisi wengine baba alitukataza kula kwa watu, kama hupikagi poa tu!!!!!!!!
mama mia said: Njoo chukua la kwangu la mchina ila usisahau kupita kwa mangi na chupa ya maftataa, miye cku hiz sipiki Click to expand... Uzuri sisi wengine baba alitukataza kula kwa watu, kama hupikagi poa tu!!!!!!!!
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 Apr 21, 2011 Thread starter #66 Remmy said: Kama huo mwiko wa kupikia hilo jiko utapikia kwenye jiko moja, utampata. Click to expand... Hili limezingatiwa
Remmy said: Kama huo mwiko wa kupikia hilo jiko utapikia kwenye jiko moja, utampata. Click to expand... Hili limezingatiwa
MESTOD JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 4,798 Reaction score 2,008 Apr 21, 2011 #67 Dena Amsi said: Ndoto za mchana hizo ndugu la peke yako??? Wapi?? Bongo, Moro,AR, MZA, MBY nk unacheza makida kwenye nyaya za umeme Click to expand... Mmmmh, hapa chenga sijaisoma vizuri.
Dena Amsi said: Ndoto za mchana hizo ndugu la peke yako??? Wapi?? Bongo, Moro,AR, MZA, MBY nk unacheza makida kwenye nyaya za umeme Click to expand... Mmmmh, hapa chenga sijaisoma vizuri.
Viper JF-Expert Member Joined Dec 21, 2007 Posts 3,666 Reaction score 1,406 Apr 21, 2011 #68 Susy said: ndio maana natamani urudi jukwaa la siasa!!!!!!! Click to expand... now i know why...!!! hehe
Susy said: ndio maana natamani urudi jukwaa la siasa!!!!!!! Click to expand... now i know why...!!! hehe